KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 537
Tangu kuzaliwa kwa nchi ya JMT, katika marais wote waliopita, Kikwete amekuwa rais wa kwanza kuweka historia ya kuporomoka umaarufu wake kwa kishindo. Mwaka 2005 aliingia kwa kishindo na mwaka 2010 akaingia kwa ushindi wa kulazimisha baada ya umaarufu wake kuporomoka. katika hali hii atakuwa na uwezo wa kupanda ndege kwenda majuu kama alivyokuwa akifanya au atakaa nyumbani akihofia kiti chake kupinduliwa?