Elections 2010 Kikwete ameshinda!!!

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,081
5,061
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini matokeo ya kura za Urais na dhahiri kuwa Kikwete anampita Slaa kwa mbali.
Bado nashindwa kuamini lakini tumepoteza mpaka sasa unless kama kuna mtu anayeweza kutueleza kama uchakachuaji ulikuwepo na mbinu zipi zilitumika.
Tujitayarishe kwa maumivu.
 
So far wametangaza matokeo ya majimbo ambayo CCM na CUF wanayashikilia kama ngome zao. Lengo lao ni kujustify kutangaza in two phases percentage ambazo Kikwete anaongoza akifuatiliwa na CUF and then Slaa. On Thursday they will announce that Kikwete is still leading by 65% or more and then airing of result will cease. Soon they (NEC) will appear on media annoucing that Kikwete has won and swearing-in ceremony is due to take place soon.

I strongly advice CHADEMA to continue tallying all results by themselves even if it takes longer time and then come out with true results no matter when. Tanzania and the world needs to know what is the real secret of CCM's victories in elections besides all hatrage from the people from all over the country
 
.......Hata kama Kikwete atashinda lakini Dr Slaa kafanya kazi kubwa sana ya kuleta wabunge wengi mjengoni kutoka chadema.Hadi sasa anastahili kupongezwa sana huyu baba kwa kazi aliyofanya.............hadi sasa nadhani chadema itakuwa na wabunge zaidi ya 20 katika bunge hili jipya hizi zote ni juhudi za kampeni za Dr Slaa.
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini matokeo ya kura za Urais na dhahiri kuwa Kikwete anampita Slaa kwa mbali.
Bado nashindwa kuamini lakini tumepoteza mpaka sasa unless kama kuna mtu anayeweza kutueleza kama uchakachuaji ulikuwepo na mbinu zipi zilitumika.
Tujitayarishe kwa maumivu.

that was obvious. jk must win.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom