Kikwete aliweza, CHADEMA wanafanya, Zitto atang'ara

simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
225
ilimchukua miaka kumi Kikwete na Lowassa kuwahadaa CCM na watanzania kwa kuandikwa vizuri sana kila kona, ilipofika kipindi cha uchaguzi mkuu, 2005, Kikwete alikuwa juu sana ya mtazania yeyote kwenye swala la urais...........alipendwa kila kona

chacha wangwe alipotaka uongozi wa juu wa CDM, alinenewa maneno ya msaliti, fisadi, anaongwa na CCM n.k

CCM watu walipotaka ku contest uenyekiti wa kikwete .majina kibao waliitwa akina shibuda na wengineo, ikatumika au ukatumika uamuzi usio wa busara wa ''zidumu fikra za mwenyekiti''

KWENYE siasa a inawachukua watu hata miaka mitano au kumi kujitayarisha na jambo fulani........na hapo ndipo wanapowakamata watu kama wewe

zito tangu alipotaka kugombea uongozi 2009 tangia hapo hajawa salama, kwani agenda ya cdm ni ''Mbowe forever' sidhani kama na wewe unakubaliana na hili unless una mtindio wa ubongi

kilichoandikwa hapo ni kumshusha zitto, tangia 2009-2012 zitto amesemwa sana, majina yote, mwaka huu 2013 baada ya kuona HAMJAWEZA KUMSHUMSHA NA NYOTA YAKE IMEKUWA JUU, mmeamua kutumia uhuni eti atimuliwe, baadae MTAMWACHIA UANACHAMA, ILA MTASEMA HANA SIFA YA UENYEKITI

KWA MAANA NYINGINE NDANI YA HIYO CHADEMA, UKIMSIMAMISHA ZITTO NA MBOWE, ZITTO ANASHINDA UCHAGUZI, kila mtu anajua hili, slaa, mbowe, lema, nassari, msigwa wanajua HILI VIZURI SANA, labda wewe tu haujui



kupendwa watu wanapendwa, niambie mchadema gani anamchukuia magufuli? mwakyembe?? au slaa anapendwa na wanachadema tu?? hakuna wana CCM wanaompenda?? HOJA ZA zitto sikuzote zinagusa kila mtu katika jamii, wanaompenda ni wengi wa kila chama, kila rika n. nipe HOJA MOJA YA MBOWE ALIYOISIMAMIA NA KUIBUA INAYOMGUSA MTANZANIA...(nil)


CHADEMA INATEKELEZA LENGO LA KUTOWASAIDIA WATANZANIA ILA KULA MAHELA YA RUZUKU NA MISAADA

ZITTO ATABAKI MIOYONI MWA WATU, ATAKUA, ATANG'ARA, WABUNGE WOTE WA CHADEMA BILA ZITTO NA SLAA WASINGEKUWA HAPO

CHADEMA KINATAKIWA KIWE CHAMA MA SI SACCOSS KAMA HIVI SASA,

NDIO HAKITAKUFA SIMPLY KWA SABABU NI SACCOSS NA SIO CHAMA

WATU WA NJE WAWE NA DREAMS KUHUSU CHADEMA

WANAOTETEA UOZO WA CHADEMA LAZIMA WANAHUSIKA, AU NI MAHABA KIPOFU
 
Kwa Zitto MM ni lazma awe CHADEMA? Kwani hakuna vyama vingine? CDM hatumtaki mchukueni akaendeleze usaliti huko kwenu .
 
Kwa Zitto MM ni lazma awe CHADEMA? Kwani hakuna vyama vingine? CDM hatumtaki mchukueni akaendeleze usaliti huko kwenu .

na kwa nini aondoke? nyie cdm na yeye ni chama gani na kama wewe ni cdm umeifanyia cdm kupita zitto mpaka useme aondoke?
 
hoja yako inaonekana kumlenga mtu fulani personal,ndiyo maana maneno yako ni-mme---mta---wewe,uta,ume nk, ila hujaeleza unamlenga nani hasa.
 
Kwa Zitto MM ni lazma awe CHADEMA? Kwani hakuna vyama vingine? CDM hatumtaki mchukueni akaendeleze usaliti huko kwenu .

Je, kati ya zito na wewe kifaranga nani ameiweka Cdm ilipo? Unajisemea kilo usichokijua! Zito is the best in Chadema and not u, nor Mbowe! Kapotelee mbali huko na mbowe wako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haijalishi kafanya nini, tumemgundua ni msaliti na wanachama na mashabiki wengi wa chadema, hatumtaki, hivyo inabidi aondoke au afukuzwe !

na kwa nini aondoke? nyie cdm na yeye ni chama gani na kama wewe ni cdm umeifanyia cdm kupita zitto mpaka useme aondoke?
 
Back
Top Bottom