Kikwete aliweza, CHADEMA wanafanya, Zitto atang'ara


S

simbilisi

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
792
Likes
3
Points
0
S

simbilisi

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
792 3 0
ilimchukua miaka kumi Kikwete na Lowassa kuwahadaa CCM na watanzania kwa kuandikwa vizuri sana kila kona, ilipofika kipindi cha uchaguzi mkuu, 2005, Kikwete alikuwa juu sana ya mtazania yeyote kwenye swala la urais...........alipendwa kila kona

chacha wangwe alipotaka uongozi wa juu wa CDM, alinenewa maneno ya msaliti, fisadi, anaongwa na CCM n.k

CCM watu walipotaka ku contest uenyekiti wa kikwete .majina kibao waliitwa akina shibuda na wengineo, ikatumika au ukatumika uamuzi usio wa busara wa ''zidumu fikra za mwenyekiti''

KWENYE siasa a inawachukua watu hata miaka mitano au kumi kujitayarisha na jambo fulani........na hapo ndipo wanapowakamata watu kama wewe

zito tangu alipotaka kugombea uongozi 2009 tangia hapo hajawa salama, kwani agenda ya cdm ni ''Mbowe forever' sidhani kama na wewe unakubaliana na hili unless una mtindio wa ubongi

kilichoandikwa hapo ni kumshusha zitto, tangia 2009-2012 zitto amesemwa sana, majina yote, mwaka huu 2013 baada ya kuona HAMJAWEZA KUMSHUMSHA NA NYOTA YAKE IMEKUWA JUU, mmeamua kutumia uhuni eti atimuliwe, baadae MTAMWACHIA UANACHAMA, ILA MTASEMA HANA SIFA YA UENYEKITI

KWA MAANA NYINGINE NDANI YA HIYO CHADEMA, UKIMSIMAMISHA ZITTO NA MBOWE, ZITTO ANASHINDA UCHAGUZI, kila mtu anajua hili, slaa, mbowe, lema, nassari, msigwa wanajua HILI VIZURI SANA, labda wewe tu haujuikupendwa watu wanapendwa, niambie mchadema gani anamchukuia magufuli? mwakyembe?? au slaa anapendwa na wanachadema tu?? hakuna wana CCM wanaompenda?? HOJA ZA zitto sikuzote zinagusa kila mtu katika jamii, wanaompenda ni wengi wa kila chama, kila rika n. nipe HOJA MOJA YA MBOWE ALIYOISIMAMIA NA KUIBUA INAYOMGUSA MTANZANIA...(nil)


CHADEMA INATEKELEZA LENGO LA KUTOWASAIDIA WATANZANIA ILA KULA MAHELA YA RUZUKU NA MISAADA

ZITTO ATABAKI MIOYONI MWA WATU, ATAKUA, ATANG'ARA, WABUNGE WOTE WA CHADEMA BILA ZITTO NA SLAA WASINGEKUWA HAPO

CHADEMA KINATAKIWA KIWE CHAMA MA SI SACCOSS KAMA HIVI SASA,

NDIO HAKITAKUFA SIMPLY KWA SABABU NI SACCOSS NA SIO CHAMA

WATU WA NJE WAWE NA DREAMS KUHUSU CHADEMA

WANAOTETEA UOZO WA CHADEMA LAZIMA WANAHUSIKA, AU NI MAHABA KIPOFU
 
POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
6,691
Likes
17
Points
135
POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
6,691 17 135
Kwa Zitto MM ni lazma awe CHADEMA? Kwani hakuna vyama vingine? CDM hatumtaki mchukueni akaendeleze usaliti huko kwenu .
 
ngozimbili

ngozimbili

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Messages
1,053
Likes
489
Points
180
Age
42
ngozimbili

ngozimbili

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2011
1,053 489 180
Kwa Zitto MM ni lazma awe CHADEMA? Kwani hakuna vyama vingine? CDM hatumtaki mchukueni akaendeleze usaliti huko kwenu .
na kwa nini aondoke? nyie cdm na yeye ni chama gani na kama wewe ni cdm umeifanyia cdm kupita zitto mpaka useme aondoke?
 
Swiper

Swiper

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
449
Likes
8
Points
35
Swiper

Swiper

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
449 8 35
kwani huu ni mwanzo wa mwisho???
 
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Likes
50
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 50 0
Kosa la Zitto ni kupendwa na Wanachama wa Kawaida na wasio wanachadema.
 
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
8,865
Likes
6,706
Points
280
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
8,865 6,706 280
hoja yako inaonekana kumlenga mtu fulani personal,ndiyo maana maneno yako ni-mme---mta---wewe,uta,ume nk, ila hujaeleza unamlenga nani hasa.
 
sebaakujiwe

sebaakujiwe

Senior Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
171
Likes
5
Points
35
sebaakujiwe

sebaakujiwe

Senior Member
Joined Jan 26, 2013
171 5 35
Kwa Zitto MM ni lazma awe CHADEMA? Kwani hakuna vyama vingine? CDM hatumtaki mchukueni akaendeleze usaliti huko kwenu .
Je, kati ya zito na wewe kifaranga nani ameiweka Cdm ilipo? Unajisemea kilo usichokijua! Zito is the best in Chadema and not u, nor Mbowe! Kapotelee mbali huko na mbowe wako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
J

jebibay

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2012
Messages
1,410
Likes
32
Points
145
J

jebibay

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2012
1,410 32 145
Haijalishi kafanya nini, tumemgundua ni msaliti na wanachama na mashabiki wengi wa chadema, hatumtaki, hivyo inabidi aondoke au afukuzwe !

na kwa nini aondoke? nyie cdm na yeye ni chama gani na kama wewe ni cdm umeifanyia cdm kupita zitto mpaka useme aondoke?
 

Forum statistics

Threads 1,263,845
Members 486,093
Posts 30,165,908