Elections 2010 Kikwete alivyowanunua wamasai

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
Nipo maeneo ya Longido na kuna wamasai wa jimbo la Ngorongoro wamenieleza kitu kilichoniuma sana. Waliniambia kwamba JK hakufanya mkutano wa hadhara Ngorongoro ila aliwaita faragha ma-Laighwanani (wazee wa kimila wa kimasai) na kuwapa mshiko kiasi cha 1,250,000 TShs. wakawatishe wamasai wamaeneo yao kwamba atakayeenda kupiga kura siku hiyo atapata laana ya machifu hao. And, yes it worked! Hali ilkuwa ya kutisha sana. Kijana mmojawapo aliniambia alikuwa wakala wa CHADEMA somewhere na kituo kilikuwa na wmajina ya wapiga kura 220 lakini wliokuja kupiga kura ni 58 tu, alipowauliza baadhi ya watu kwa nini hawakupiga kura, walijibu waliogopa laana ya machifu wao!
Je, hii si sababu ya watu wengi kuto-turn up?
 
sio taarifa ya kuipuuza lakini ni vigumu kuimani moja kwa moja. maneno matupu huweza kuumbwa na yakaaminika kwa lengo lililokusudiwa
 
hapa hapa jf wapo waliotuambia baada ya kuapishwa JK atatangaza hali ya hatari. maneno ni mengi sijui tuchukue lipi na kuacha lipi. Kuanzia wakati wa kampeni ni kuchafuana kwenda mbele. Huyu anamchafua yule na yule anamchafua huyu. mmmmmmmmmmmmmmh
 
Tanzania bila uzushi inawezekana always we need evidence which can never be edited.haya na wale wa Dar nani aliwanunua na kwa laana ya nani?Watanzania tuna kawaida ya kulipuka lakini kwenye utekelezaji mbio ndio zetu.
sio taarifa ya kuipuuza lakini ni vigumu kuimani moja kwa moja. maneno matupu huweza kuumbwa na yakaaminika kwa lengo lililokusudiwa
 
hapa hapa jf wapo waliotuambia baada ya kuapishwa JK atatangaza hali ya hatari. maneno ni mengi sijui tuchukue lipi na kuacha lipi. Kuanzia wakati wa kampeni ni kuchafuana kwenda mbele. Huyu anamchafua yule na yule anamchafua huyu. mmmmmmmmmmmmmmh
mwenye akili timamu atachukua linalomfaa
 
Back
Top Bottom