Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ilikuwaje JMK kupanda cheo cha kijeshi mpaka kuwa Kanali Kama hakumaliza Mafunzo pale Monduli??
Nimejijibu mwenyewe alikuwa Mkufunzi na siyo Mwanafunzi.
Okay nimeelewa kiswahili kilinipiga chenga.
Mi nina wasiwasi kidogo...hizo ni taarifa za ki intelijensia, inakuwaje Mwalimu azipotezee kihivyo....sio kuwa jamaa alikuwa asset wa kulete taarifa?.....unless alikuwa na watu wake wengine.....sijui...mawazo tu.
Sasa ilikuwaje JMK kupanda cheo cha kijeshi mpaka kuwa Kanali Kama hakumaliza Mafunzo pale Monduli??
Nimejijibu mwenyewe alikuwa Mkufunzi na siyo Mwanafunzi.
Okay nimeelewa kiswahili kilinipiga chenga.
Mimi sina tatizo na unafiki wake ila najaribu kupiga picha Mkwere rais wetu alivyokuwa anakatiza porini maana toka Monduli hadi Usa River si mchezo nasema hivyo kwa vile yameshanikuta ukitoroka jeshini hufuati barabara ni kukatiza vichochoroni ukisikia mlio wa gari ni kuingia kichakani bila kuangalia humo utakutana na mnyama gani.
WomanOfSubstanceKama kuna chumvi mno hii story!!
Haya mazungumzo btw JK na Sayore huwa yanafanyikia wapi jamani na wewe unakuwepo?Hilo ni moja.
Pili, hivi najaribu kuangalia jiografia.... Monduli hadi Usa river? Mtoa hoja unaijua Arusha vizuri? Mbona ni njia ambazo hazikutani ? Ungesema alitokea Monduli uchochoroni ( na sijui ni upi) maana ni Maasai plains hakuna hata misitu uje hadi Burka Coffee estate, ukatize uingie mjini Arusha..... uje hadi Usa River??..Haiji kabisa.....
Haha haaaa!sayore ni mkorofi balaa tunajua . kama asinge chapa mwendo ingekula kwake.
hearsay and gossip. fotokopi monduli miaka ya 70 wadanganyika bana!
Huenda photocopy haikuwepo, lakini kulikuwa na mashine zingine za kurudufu.hearsay and gossip. fotokopi monduli miaka ya 70 wadanganyika bana!
Jamani wakuu, hii nitrue story ingawa wengine tulikuwa hatuna details nyingi lakini ishu nzima la kutaka kumpaka tope Sayore inajulikana na mzee huyu hafichi hata akiulizwa! Mi ninachoendelea kuomba ni kuwa watanzania wenzangu endeleeni kuanika ukweli kuhusu huy CHARLATAN/ TAPELI/KIHIYO aliyechukua uongozi mkubwa wa nchi bila kuwa na ujuzi hata 10% kwamba uongozi ni nini, hana maadili na ana roho mbaya! Ila Mungu anazidi kumuumbua na tabia yake halisi imeanza kuonekana.
Mwalimu siku zote aliogopa sana kucheza na wanajeshi, hivyo naamini kwamba aliona namna bora ya kutatua tatizo hilo ilikuwa kuwaachia wenyewe!