Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

So mnaona ilikuwa bora kununua bidhaa hizohizo kutoka nje ya mkoa, kuliko kuzipata palepale kambini?
Nyerere alifikiria, akaona kuwa ni bora kuokoa gharama ya transportation kwa kununua hapohapo, ndio maana akaipuuza barua ya mzee wa fitna!
PakaJimmy,

Sisemi kwamba alilofanya Sayore halikuwa bora kwa utaratibu wa kawaida especially nyakati hizi za biashara huria,however ili tuwe fair,ni lazima tukumbuke kuwa alichokuwa akifanya Sayore nyakati zile,hakikuendana na sera alizokuwa akizipreach mwalimu,no wonder hata ccm leo inaplay game similar to mwalimu's mistake,nasema "Mistake" kwasababu sitaki kuamini kuwa mwalimu alitusababishia haya kwa kutaka.

However,ccm bado wako vuguvugu kama enzi zile maana ni chama cha kijamaa kinachofanya mambo kibepari,na sasa si kibepari tena,bali imegeuka kuwa kifisadi!

Kuna anayejua kuwa ndani ya mashamba hayo ni nani alikuwa akifanya kazi na gharama za uendeshaji wa mashamba hayo kama zilikuwa toka mfukoni kwake pekee?

Vinavyoendelea sasa hivi chini ya ccm kumbe vilianza zamani,the only difference is who was doing it!Mtu binafsi kumiliki mashamba makubwa ilikuwa ni ukabaila kwa wakati huo,mashamba makubwa yalikuwa mali ya umma ama serikali...Sasa sishangai kuona kuna wanafunzi wa tofauti tofauti wa mwalimu,kuna wenye nazo na kuna wasio nazo....Kuna walioruhusiwa kuwa mabepari by the virtue of either militarism kama ilivyo kwa Sayore na wengineo or maybe freedom fighting kama ilivyo kwa kina Rupia,Kahama nk.

Ni wazi mwalimu aliwa confuse si tu wananchi,bali hata wanafunzi wake.

Wewe hapo juu umetoa utafsiri wako binafsi kuwa mwalimu hakuchukua hatua yoyote kwasababu aliona ni bora kuokoa gharama za usafirishaji,that is a very naive approach i am afraid!

Mwalimu ali gave up a lot of things kwa sababu ya kusimamia yale anayoamini,sasa kuniambia kuwa gharama za usafiri zilisababisha mwalimu akaukumbatia ukabaila,basi then hiyo ndo tafsiri yako kanganyifu kama zilivyo tafsiri nyingi tu zinazohusiana na why this or that happened to this country etc.

Ukitumia akili zaidi,utaona kuwa mwalimu alipima akaona kuwa hawezi kuchonganishwa dhidi ya wanajeshi wake haswa ukizingatia kuwa kulishakuwa na dalili za uasi huko nyuma...Aliona consequences za kumnyang'anya labda zingekuwa mbaya zaidi ya kumwachia aendelee na biashara hiyo.....Same thing with ufisadi nowadays,viongozi wanaona consequences za kuwashughulikia mafisadi ni nyingi,wengine wanasema uchumi utayumba,nchi haitatawalika nk!

Kuna mwana JF aliyesema huko nyuma kuwa huwezi kuishona nguo uliyoivaa,ni lazima uivue kwanza....Solution ni revolution na si ku handpick vijistory ambavyo haviwezi kutusaidia especially ka utafsiri wetu wa issue ndo kama huu!

Na pia labda mwalimu alitizama nia ya mpeleka ujumbe nk,kusema ilikuwa ni gharama za usafirishaji ni kushindwa kufikiri kwa undani zaidi.
 
Achana na Mwandosya, labda ungeeleweka vizuri ungesema Dr SalimAhmed Salim.
Maana huyu (SAS)ndiye aliyepata kionjo cha ukweli cha fitna ya JK. kIpindi cha kampeni 2005 waliyalipa FEDHA baadhi ya magazeti yakatumika kumchafua sana SAS, hadi wakapandikizwa wazee kule Zenji ambao walitamka kwamba kama SAS angepitishwa kuwa mgombea, basi mUUNGANO ungeishia kipindi hicho.
Akavalishwa joho la HIZBU, na kuonekana ni adui mkubwa sana wa TANU NA ASP!
NAMKUBALI jk KWA FITNA!
usi msahamu Fredrick Sumaye nae anajua fika fitina za Kikwete
 
Achana na Mwandosya, labda ungeeleweka vizuri ungesema Dr SalimAhmed Salim.
Maana huyu (SAS)ndiye aliyepata kionjo cha ukweli cha fitna ya JK. kIpindi cha kampeni 2005 waliyalipa FEDHA baadhi ya magazeti yakatumika kumchafua sana SAS, hadi wakapandikizwa wazee kule Zenji ambao walitamka kwamba kama SAS angepitishwa kuwa mgombea, basi mUUNGANO ungeishia kipindi hicho.
Akavalishwa joho la HIZBU, na kuonekana ni adui mkubwa sana wa TANU NA ASP!
NAMKUBALI jk KWA FITNA!

Jk ndio Rais sasa he has nothing to loose!
 
Kighoma Malima alikufa kwa mshituko baada ya kuwapa misamaha ya kodi wahindi lukuki wakimuahidi kuwa fedha wamemuwekea ulaya , kwenda kucheki account ya VIJISENTI vyake akakuta hakuna kitu; basi mzaramo alikuwa amefuatana na mwali wake ikabidi AFE!!

Watu wanasema siku ya kifo chake alikuwa na mazungumzo marefu na mwanae Adam - ya kuanzisha chama cha upinzani!
 
Watu wanasema siku ya kifo chake alikuwa na mazungumzo marefu na mwanae Adam - ya kuanzisha chama cha upinzani!

Chama alishaanzisha....KIKWETE alienda london kuikamata pesa yake......

kuhusu ,monduli ni kweli kina waitara na masai sayore walikuwa wanamdharau sana JK kwa wakimuita NANGA......WAITARA ameshawahi kumnasa vibao....

Nyerere alikuwa hapendi unafiki....ukiona taarifa alipelekewa akazi ignore ..watu wa usalama walishampa taarifa kuwa ni majungu na rais wa nchi hawezi kufanyia kazi majungu....
 
Hii story ingesaidia kama mngeileta 2005, sasa hivi haitabadili ukweli kuwa JK ndiye Amiri Jeshi mkuu.
 
Nampaka sasa ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi YOTE nchi na Raisi wa Tanzania kwa kipindi cha pili..basi kama ni adhabu basi ni adhabu nzuri ati! Big-up JK. acha wenye wivu wajinyonge, kama alivyojiimbia Saida Karoli.

Of course it is an achievement at his own peril! Hakuna Rais ambaye heshima yake imekuwa ndogo kama rais wa awamu ya nne! Ni mpiga story na mgawa ahadi ambazo hazitekelezeki kwa kwenda mbele. Ipo siku watoto wa ncho hii watanena yaliyo kweli kwa kutenga uwongo unaoenezwa sasa hivi hasa wa kuchanganya dini kwenye kila kitu kinachohojiwa kwasababu ya incompetence
 
Thank you sana! Nimecheka, uuuwiii ! Mkwere bana, kichwani zero! Kwa fitina nani asiemjua, si ndo yeye pia kaleta udini wakati wa kampeni mwaka jana
 
It's a true story!!
Na tangu JK amekuwa Rais, amekuwa akimuomba sana Mzee Sayore awe Balozi wetu nje, lakini Sayore amekuwa akimkatalia kwa kusema "siwezi kuwa nafanya kazi na kuripoti kwa watoto wasioijua nchi"!

Kama kuna chumvi mno hii story!!

Haya mazungumzo btw JK na Sayore huwa yanafanyikia wapi jamani na wewe unakuwepo?Hilo ni moja.
Pili, hivi najaribu kuangalia jiografia.... Monduli hadi Usa river? Mtoa hoja unaijua Arusha vizuri? Mbona ni njia ambazo hazikutani ? Ungesema alitokea Monduli uchochoroni ( na sijui ni upi) maana ni Maasai plains hakuna hata misitu uje hadi Burka Coffee estate, ukatize uingie mjini Arusha..... uje hadi Usa River??..Haiji kabisa.....
 
Source ya taarifa hii na iweke hapa hiyo barua ili tuione mkuu isiwe bla bla tu
 
Kama kuna chumvi mno hii story!!

Haya mazungumzo btw JK na Sayore huwa yanafanyikia wapi jamani na wewe unakuwepo?Hilo ni moja.
Pili, hivi najaribu kuangalia jiografia.... Monduli hadi Usa river? Mtoa hoja unaijua Arusha vizuri? Mbona ni njia ambazo hazikutani ? Ungesema alitokea Monduli uchochoroni ( na sijui ni upi) maana ni Maasai plains hakuna hata misitu uje hadi Burka Coffee estate, ukatize uingie mjini Arusha..... uje hadi Usa River??..Haiji kabisa.....

ume-hit the bull
 
hivi miaka ya themanini na ya sabini kopi zilikua zinatolewaje?
Kama umezaliwa miaka ya 90 utajuaje unaona miaka ya 70 na 80 kama zamani sana, kopi zilikuwa zinatolewa tangu enzi za uhuru tulikuwa tunatumia carbon paper najua huzijui, nyie watoto wa enzi za photocopy na scanner.
 
119 Reactions
Reply
Back
Top Bottom