Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

Kutoka Mkufunzi wa siasa CTU Monduli mpaka kamisaa wa siasa wa wilaya....Nachingwea....ni adhabu tosha sana...endelea kutoamini

Ungeniaminisha haya majungu 2005, leo ni kupoteza mda bila tija.Wala sitaki kuamini maana nikiamini itachukua memory ktk nvram ya kichwa yangu bure.
 
Kwa hiyo unataka kusema hii miradi anayohodhi mkwere ni kujibu maumivu aliyokuwa anayapata kutoka kwa Sayore. Maana kama hapo nyuma kiongozi alikuwa anaruhusiwa kufanya kilimo na kuuzia jeshi kwa nini sasa hivi mkwere alipoleta RICHMOND/DOWANS kuzalisha umeme nyie watanzania mnaleta fitina?

Katu mkaa hauwezi kuwa mweupe..........yaani unafananisha mkojo wa kuku na wa tembo
 
Hahaa, mmenikumbusha Nyerere aka mchonga alivokua na majungu ya kufa mtu, wafanyakazi wa serikali wakihesabiwa bia kwenye mabaa hata uwe mratibu kata ukizungusha raundi baa taarifa wanampa Julius.

Kulikua na kipindi cha RTD Kinaitwa mikingamo acha bana mtu akichoma ujue kazi huna mimi kipindi hicho dingi akiwa usalama wa taifa niliona majungu mengi yasio maana ukiwa tajiri eti we mlanguzi,baada sokoine kushupalia issue waka engineer accident.

Nchi ikafiliska kwa aibu akarudi butiama kupalilia mihogo na kunywa breakfast ya mihogo ya kuchemsha kwa sturungi.
 
A very interesting story! Hiyo nakala ya barua ya jungu yaweza kupatikana wapi wana JF? Kuna haja ya kuiweka public hii barua!
 
Nafikiri miaka hiyo kulikuwa na hizi Dublicating Machines kama Photocopies zilikuwa hazijaingia bado nchini. Ila pia kumbuka kuwa Jeshini mara nyingi wanapata vitu mapema kuliko sehemu nyingine. Sasa hilo la kugawa Copies kwa wanafunzi hapo Monduli, nafikiri linawezekana na hasa ukifikiria kuwa Monduli kwa miaka hiyo kilikuwa juu sana na kikichukua hadi wanafunzi wa nje kama akina Garang, Museven nk nk.

Duplicating machines were the predecessors of modern document-reproduction technology. They have now been replaced by digital duplicators, scanners, laser printers and photocopiers, but for many years they were the primary means of reproducing documents for mass distribution.

Like the typewriter, these machines were children of the second phase of the industrial revolution which started near the end of the 19th century (also called the Second Industrial Revolution)[citation needed][jargon]. This second phase brought to mass markets things like the small electric motors and the products of industrial chemistry without which the duplicating machines would not have been economical. By bringing greatly increased quantities of paperwork to life the duplicating machine and the typewriter gradually changed the forms of the office desk and transformed the nature of office work.

They were often used in schools, where cheap copying was in demand for the production of newsletters and worksheets, and self-publishers used these machines to produce fanzines.


A photocopier (also known as a copier or copy machine) is a machine that makes paper copies of documents and other visual images quickly and cheaply. Most current photocopiers use a technology called xerography, a dry process using heat. (Copiers can also use other technologies such as ink jet, but xerography is standard for office copying.)

Xerographic office photocopying was introduced by Xerox in 1959, and it gradually replaced copies made by Verifax, Photostat, carbon paper, mimeograph machines, and other duplicating machines. The prevalence of its use is one of the factors that prevented the development of the paperless office heralded early in the digital revolution.

Photocopying is widely used in business, education, and government. There have been many predictions that photocopiers will eventually become obsolete as information workers continue to increase their digital document creation and distribution, and rely less on distributing actual pieces of paper.
 
Licha ya kwamba siufagilii uongozi wa sasa unachofanya,bado nadhani mwenye kosa alikuwa mwalimu Nyerere hapo,tuondoe upofu wa chuki then tu analyze without bias...Mbona kuna wanasiasa kibao tu wamepitia misukosuko similar?Kina Sitta,Zitto nk.

Kwanini hatushangazwi kuwa pamoja na yote hayo sasa amekuwa mkuu wa nchi?

Kwa wakati ule taarifa kama hiyo ingetemewa kuwa itamfurahisha mwalimu,ama mwalimu alishindwa namna ya kumwajibisha mjeshi?Kiukweli alichofanya Sayore kilikuwa ni kinyume na siasa mwalimu alizokuwa akizi preach kwa wakati ule,je ni kosa kwa JK kumshtua kuwa kuna tabia za kibwanyenye at the time when nchi iliendeshwa kiujamaa?
 
Jamani kama mnakumbuka ilishakuja thread ya Kikwete na monduli sio siku nyingi sana na nilicomednt kuwa hakustaafu ila alikimbia, it true story and frankly i got the info from my father who is a friend and neighbour of Gen. Sayore, BIG UP mwanzisha sredi

Mi nina wasiwasi kidogo...hizo ni taarifa za ki intelijensia, inakuwaje Mwalimu azipotezee kihivyo....sio kuwa jamaa alikuwa asset wa kulete taarifa?.....unless alikuwa na watu wake wengine.....sijui...mawazo tu.
 
Licha ya kwamba sifagilii uongozi wa sasa unachofanya,bado nadhani mwenye kosa alikuwa mwalimu Nyerere hapo,tuondoe upofu wa chuki then tu analyze without bias...Mbona kuna wanasiasa kibao tu wamepitia misukosuko similar?Kina Sitta,Zitto nk.

Kwanini hatushangazwi kuwa pamoja na yote hayo sasa amekuwa mkuu wa nchi?

Kwa wakati ule taarifa kama hiyo ingetemewa kuwa itamfurahisha mwalimu,ama mwalimu alishindwa namna ya kumwajibisha mjeshi?Kiukweli alichofanya Sayore kilikuwa ni kinyume na siasa mwalimu alizokuwa akizi preach,je ni kosa kwa JK kumshtua kuwa kuna tabia za kibwanyenye at the time when nchi iliendeshwa kiujamaa?
So mnaona ilikuwa bora kununua bidhaa hizohizo kutoka nje ya mkoa, kuliko kuzipata palepale kambini?
Nyerere alifikiria, akaona kuwa ni bora kuokoa gharama ya transportation kwa kununua hapohapo, ndio maana akaipuuza barua ya mzee wa fitna!
 
kama kweli mkwere ni mtu wa fitina hivyo basi sasa naanza kuamini kisa cha babu sea(seya) na wanae ni kugongana somewhere na mkwere
 
119 Reactions
Reply
Back
Top Bottom