Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

Mi nina wasiwasi kidogo...hizo ni taarifa za ki intelijensia, inakuwaje Mwalimu azipotezee kihivyo....sio kuwa jamaa alikuwa asset wa kulete taarifa?.....unless alikuwa na watu wake wengine.....sijui...mawazo tu.
 
Wengine humu walishaandika alikuwa ananyemelea wake za wenzake huyu naye kaja na lake. Huuu ni upuuzi tu. Kama ilikuwa hivyo kumbe hata ccm ya Nyerere ilikuwa imeoza tu, itakuwaje mnafiki mmpangine kazi nyingine ya chama?
 
Yote hayo ni sifa za mkwere! Kupenda wanawake na fitina. CCM imeoza toka zamani ndo maana kuna mikakati ya kuipumzisha ije upya.
 
MkamaP,
Mtu wa fitina katika jamii ni sawa na mchawi ati!

Mimi mtu wa fitna ni huyu anayekuja na stori hizi leo, kwanini hawakuzitoa 2005 hizi fitina? Tuseme tu jamaa ameshindwa kuongoza, badala ya kuanza kuingiza mambo ya ajabu ajabu kabisa.
 
Jamaa ni Luteni vilee?
Zamani ilikuwa ni lazima kupitia jeshi kama ingekuwa ni hiari mh sijui kama ange'join.
 
Yote hayo ni sifa za mkwere! Kupenda wanawake na fitina. CCM imeoza toka zamani ndo maana kuna mikakati ya kuipumzisha ije upya.

Nakubaliana na wewe rev. kwamba ccm imeoza toka zamani ,huoni watu ni wa fitini sana kumsifia Nyerere kumbe ndo aliozesha mambo yote, hii ni kwa staili mleta maada.

Rev, sio ccm iliyooza ni watanzania karibu wote wenye umri fulani (sitautaja) wamefubaha (bakubhaga) regardless ya chama walichomo.
 
Achana na Mwandosya, labda ungeeleweka vizuri ungesema Dr SalimAhmed Salim.
Maana huyu (SAS)ndiye aliyepata kionjo cha ukweli cha fitna ya JK. kIpindi cha kampeni 2005 waliyalipa FEDHA baadhi ya magazeti yakatumika kumchafua sana SAS, hadi wakapandikizwa wazee kule Zenji ambao walitamka kwamba kama SAS angepitishwa kuwa mgombea, basi mUUNGANO ungeishia kipindi hicho.
Akavalishwa joho la HIZBU, na kuonekana ni adui mkubwa sana wa TANU NA ASP!
NAMKUBALI jk KWA FITNA!

Na mpiga Zumari mkubwa wa hoja hiyo akiwa ni ambaye amekuja kuwa mlevi wa kutupwa ndugu SALUM MSABAHA-
 
Wengine humu walishaandika alikuwa ananyemelea wake za wenzake huyu naye kaja na lake. Huuu ni upuuzi tu. Kama ilikuwa hivyo kumbe hata ccm ya Nyerere ilikuwa imeoza tu, itakuwaje mnafiki mmpangine kazi nyingine ya chama?

Kutoka Mkufunzi wa siasa CTU Monduli mpaka kamisaa wa siasa wa wilaya....Nachingwea....ni adhabu tosha sana...endelea kutoamini
 
Mi nina wasiwasi kidogo...hizo ni taarifa za ki intelijensia, inakuwaje Mwalimu azipotezee kihivyo....sio kuwa jamaa alikuwa asset wa kulete taarifa?.....unless alikuwa na watu wake wengine.....sijui...mawazo tu.

nadahani mwalimu alikuwa anamuamini mtu aliyekuwa anafitiniwa..hata kama ni wewe unaletewa majungu ya mtu unayemjua huwezi kukurupuka....
 
119 Reactions
Reply
Back
Top Bottom