Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa msukosuko! | Page 13 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa msukosuko!

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by Mzizi wa Mbuyu, Feb 25, 2011.

 1. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Kipindi hicho mkuu wa chuo alikuwa Gideon Sayore, Kikwete alikuwa ni mmoja wakufunzi wa siasa chuoni hapo.

  Sasa ilikuwa hivi,
  Mzee Sayore alikuwa anafuga ng'ombe wengi pamoja kufanya shughuli za kilimo kwa wingi wakati huo huo akiwa mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli.

  Hivyo basi baada ya kuona ng'ombe wanatoa maziwa mengi mno na mazao yametapakaa mashambani akaamua kuwa awe analiuzia jeshi mazao kama vile maharage na mahindi pamoja na maziwa na nyama kutoka kwenye mifugo yake.......na pesa anachukua yeye mwenye mazo.

  Aliendelea kufanya hivyo kwa kipindi kirefu tu.. ikiwa ni kama sehemu yake ya maisha....

  Sasa bwana kumbe Kikwette (JK) ilikuwa inamuuma sana sana, yaani mno! Sasa haieleweki kama ilikuwa kweli ni kwa uzalendo ua wivu tu....akaandika barua kwa Rais kipindi hicho JK Nyerere.

  Katika barua hiyo akaandika lawama nyingi mno na majungu mengi sana dhidi ya Sayore, akimwita bepari, bwenyenye, mnyonyaji n.k huku akisema hafai kuwa mkuu wachuo hicho kwa kuwa inavunja miiko ya uongozi na mambo mengine mengi (si mnamjua JK anavyojua kupiga fitna!)...

  Basi bwana, akamalizia mwisho kwa kujiandika jina lake na sahihi yake huku akijiita mzalendo kamili barua ikapostiwa ikiwa imeadresiwa kwa Rais wa nchi wakati huo!......

  Mwalimu, aliipata barua ile aliifungua akaisomaaaa kisha akapiga hesabu zake....sijui aliwaza nini mzee yule, akaihifadhi ile barua ikaa sana ofini kwake bila kuchukua uamuzi wowote.

  Siku moja alipokuja mkuu wa majeshi wakati huo "General Mtukula" (David Musuguli) ofisini kwa Mwalimu eaisi kipindi hicho, mwalimu akampa ile barua kutoka kwa Kikwete "akisema hayo ni mambo yenu kayamalizeni hukohuko".

  Basi bwana ile barua Mkuu wa majeshi alikaa nayo muda hivi kwenye makabrasha yake. Sasa siku moja alikuja Mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli(Sayore) Dar es salaam kufanya shughuli za kikazi akaenda hadi ofisini kwa Mkuu wa majeshi.

  Baada ya shughuli kwisha na Sayore akiwa anajiandaa kwenda Monduli Mkuu wa majeshi alimwita, akampa ile barua ya Kikwete aliyomwandikia Rais!!

  Sayore akaisoomaaa we akashangaa mno!! Na akafura kwa hasira yule mmasai...., akuliza mwalimu kasemaje? Akaambiwa mwalimu kasema yamalizeni wenyewe!!.... Akasema naam, na akaondoka na ile barua hadi Monduli...

  Alipofika tu yule mmasai aliitisha kikao cha wakufunzi wote na wakuu wengine pale chuoni, wakati wanajikusanya kwenda kwenye chumba cha mkutano yeye aliamua kwenda kutoa copy ile barua ya Kikwete, kopi nyingi idadi sawa na wajumbe wa mkutano ule....

  Alipoingia mkutanoni akawaona wakuu na wakufunzi wote wameketi wakimsubiri wajue alicho waitia,.. akaanza kwa kuwauliza..jamani kama kuna mtu ana matatizo, au anaona kuna jambo haliendi sawa anyooshe mkono na saemekinacho mkereketa......watu wote wakawa kimya huku wengine wakisema hamna mkuu akiwemo Kikwette!!!

  Basi bwana, tumalizie mkasa huu wa mkwere...

  Sayore akaanza kuwagawia zile nakala (copies) za ile barua ya Kikwete kwenda kwa rais akawagawia wooote including Kikwete!!! Huku yule mmasasi Sayore akiwa amefura kwa hasira, macho mekunduuu! Akagonga ngumi juu ya meza kwa hasira na kusema someni hiyo barua!! kisha akatoka na kusema anakuja muda si mrefu...

  Hapo Kikwete akajua kifo chake kimefika, akikumbuka macho ya yuile mmasai! akatetemeka macho yakamtoka lip! kwa woga!.. na wenzie wakamwanzishia zogo mle ndani......

  Alichokifanya ni kuondoka haraka pale kikaoni wenzie wakajua bado yupo chuoni, kumbe safari ya Dar ikawa imeanza...!! Jamaa alitembea uchochoroni kwa muda mrefu sana huku akiogo kabisa kuingia barabara ya kuu...

  Mashuhuda wanasema yule bwana akaja kupanda lift ya gari za vyama vya ushirika maeneo ya USA RIVER, hakukumbuka kubeba mzigo wowote!! Just imagine kutoka Monduli hadi hapo jamaa aliteseka sana... lakini yeye hakujali, cha muhimu ilikuwa kusalimisha maisha yake......

  Basi huo ndiyo ukawa mwisho wa JK Monduli,........... hukurudi akaja Dar na kupangiwa kazi nyingine na chama... lakini alikuwa anamlaani sana Nyerere eti kwanini alimfanyia vile!!

  Hicho ndicho chanzo cha JK kumchukia mwalimu na kugoma katakata kumwita baba wa taifa hadi leo! Yeye humwita mzee Nyrere tu au mwalimu baasi...na mara chache akiwa nje ya nchi humwita 'Father of our Nation', lakini ni pale anapotaka kupigiwa makofi kwa nukuu za Mwalimu....

  **Ndugu zangu hiki ni kisa cha ukweli kwa 100%, inawezekana uandishi wangu ukawa na upungufu, lakini niemekipata kutoka watu mbalimbali waliowahi kuwa karibu sana na mkasa huu.
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #241
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  wakati Baba wa Taifa anasema JK ni 'MDOGO' wengi wakadhani ni udogo wa miaka!!! ...kumbe inaelekea ulikuwa ni wa 'upstairs' na matokeo ya kauli ya mwalimu hakuna mwenye haja ya kuuliza baada ya miaka 5 na siku kama 130 hivi za kile anachofanya! Kazi ipo!
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #242
  Mar 7, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Kwa muda mrefu nimekuwa nikiikwepa kusoma hii thread kumbe in uhalisia wa hali ya juu sana kwa huyu mkwere rais mshamba asiyejuya kwa nini tz ni masikini akijua ni masikini kwa sababu mojawapo ya yeye,lowasa na rostamu kuingia madarakani na kujitengenezea kampuni hewa ya richmond na kujichotea 152,000,000 kila siku.............
  Ila nimechukia sana pale kwenye hitimisho kuwa eti mpaka sasa kikwete hataki kumwita mwalimu baba wa taifa???.....haka kajamaa hakafai kabisa ndio maana kanapandikiza watz udini ili kafaidi damu za kafara watz wakianza kuuana

  dunia bila uislamu ingekuwa salama sana
   
 4. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #243
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inaonyesha wazi wewe umekutana na photocopy kwa mara ya kwanza enzi za kituo cha mabasi bado kiko kisutu, pata nondo kidogo


  History

  The first widely used copy machine for offices was invented by James Watt in 1779.[3] It relied on physically transferring some of the (specially formulated) ink from an original letter or drawing to a moistened thin unsized sheet of paper by means of a press. The copy could then be read from the obverse side. The system was a commercial success and was in use in for over a century.
  In 1937, Bulgarian physicist Georgi Nadjakov found that, when placed into an electric field and exposed to light, some dielectrics acquire permanent electric polarization in the exposed areas.[4] That polarization persists in the dark and is destroyed in light.
  Chester Carlson, the inventor of photocopying, was originally a patent attorney, as well as a part-time researcher and inventor. His job at the patent office in New York required him to make a large number of copies of important papers. Carlson, who was arthritic, found this to be a painful and tedious process. This motivated him to conduct experiments with photoconductivity. Carlson used his kitchen for his "electrophotography" experiments, and, in 1938, he applied for a patent for the process. He made the first photocopy using a zinc plate covered with sulfur. The words "10-22-38 Astoria" were written on a microscope slide, which was placed on top of more sulfur and under a bright light. After the slide was removed, a mirror image of the words remained. Carlson tried to sell his invention to some companies, but failed because the process was still underdeveloped. At the time, multiple copies were most commonly made at the point of document origination, using carbon paper or manual duplicating machines, and people did not see the need for an electronic machine. Between 1939 and 1944, Carlson was turned down by over 20 companies, including IBM and General Electric┬Śneither of which believed there was a significant market for copiers.
  In 1944, the Battelle Memorial Institute, a non-profit organization in Columbus, Ohio, contracted with Carlson to refine his new process. Over the next five years, the institute conducted experiments to improve the process of electrophotography. In 1947, Haloid Corporation (a small New York-based manufacturer and seller of photographic paper) approached Battelle to obtain a license to develop and market a copying machine based on this technology.
  Haloid felt that the word "electrophotography" was too complicated and did not have good recall value. After consulting a professor of classical language at Ohio State University, Haloid and Carlson changed the name of the process to "xerography," which was derived from Greek words that meant "dry writing." Haloid called the new copier machines "Xerox Machines" and, in 1948, the word "Xerox" was trademarked. Haloid eventually changed its name to Xerox Corporation.
  In 1949, Xerox Corporation introduced the first xerographic copier called the Model A.[1] Xerox became so successful that, in North America, photocopying came to be popularly known as "xeroxing." Xerox has actively fought to prevent "Xerox" from becoming a genericized trademark. While the word "Xerox" has appeared in some dictionaries as a synonym for photocopying, Xerox Corporation typically requests that such entries be modified, and that people not use the term "Xerox" in this way. Some languages include hybrid terms, such as the widely used Polish term kserokopia ("xerocopy"), even though relatively few photocopiers are of the Xerox brand.
  In the early 1950s, Radio Corporation of America (RCA) introduced a variation on the process called Electrofax, whereby images are formed directly on specially coated paper and rendered with a toner dispersed in a liquid.
  During the 1960s and through the 1980s, Savin Corporation developed and sold a line of liquid-toner copiers that implemented a technology based on patents held by the company.
  Prior to the widespread adoption of xerographic copiers, photo-direct copies produced by machines such as Kodak's Verifax were used. A primary obstacle associated with the pre-xerographic copying technologies was the high cost of supplies: a Verifax print required supplies costing USD $0.15 in 1969, while a Xerox print could be made for USD $0.03 including paper and labor. At that time, Thermofax photocopying machines in libraries could make letter-sized copies for USD $0.25 or more (at a time when the minimum wage for a US worker was USD $1.65).
  Xerographic copier manufacturers took advantage of a high perceived-value of the 1960s and early 1970s, and marketed paper that was "specially designed" for xerographic output. By the end of the 1970s, paper producers made xerographic "runability" one of the requirements for most of their office paper brands.
  Some devices sold as photocopiers have replaced the drum-based process with inkjet or transfer film technology.
  Among the key advantages of photocopiers over earlier copying technologies are their ability:
  to use plain (untreated) office paper,
  to implement duplex (or two-sided) printing, and
  eventually, to sort and/or staple output.
  [edit]Color photocopiers
  Colored toner became available in the 1950s, although full-color copiers were not commercially available until 3M released the Color-in-Color copier in 1968, which used a dye sublimation process rather than conventional electrostatic technology. The first electrostatic color copier was released by Canon in 1973.
  Color photocopying is a concern to governments, as it facilitates counterfeiting currency. Some countries have incorporated anti-counterfeiting technologies into their currency specifically to make it harder to use a color photocopier for counterfeiting. These technologies include watermarks, microprinting, holograms, tiny security strips made of plastic (or other material), and ink that appears to change color as the currency is viewed at an angle. Some photocopying machines contain special software that can prevent copying currency that contains a special pattern.

  source;wikipedia
   
 5. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #244
  Mar 7, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Kama alikuwa shushushu mbona ripoti au barua yake haikufanyiwa kazi na Mwalimu?Kama mtu amekutuma ni lazima umpe taarifa na aifanyie kazi. Huyu Mkwere ilikuwa kimbelembele chake tu ili yeye apewe hiyo nafasi.
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #245
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  kumbe ana kila sababu ya kutomita nyerere baba wa taifa.Mzee alimshika pabaya
   
 7. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #246
  Jun 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  1. Kinadhihirisha mwendo mdundo wa fitina za CCM hadi kwa mwenyekiti'
  2. Niliamini mwenzetu kushika ofisi kubwa kutambadirisha tabia za fitina kumbe katuingiza mkenge ni tabia yake haina tiba.
  3. Kama wewe unatupachika upenda majungu na huku unasema hata kama ni kweli basi wewe unayatambua majungu ambayo ndicho chungu cha fitina zenyewe, tofauti ni kwamba unahalalisha majungu na fitina JK, na fitina za Chama la Magamba kupotosha umma juu ya utaasisi wa failure za CCM kwa sababu umma umewagundua kuwa ni watu wa majungu na fitina kwa watu wanoitetea nchi hii.

  Nimejibu hivi kwa sababu mbili, kwanza kwa sababu ya ukweli wa thread wa fitina za JK, pili kwa sababu michango yako mingi humu ni utetezi wa ambao hauendani na ukweli halisi. Kifupi kisa hiki ni elimu kwa wasiomfahamu vizuri JK. Pili ni aibu kwa wana CCM wote kukumbatia fitina kwa vitendo kwa kuwa na mwenyeketi wa kifitina fitina.

  1. Asingechaguliwa 2005 alitishia kuingia upinzani mkaufyata
  2. Akamfitini Bilali hadi umauti ukampata baada ya kumfanikishia dili la EPA kwa ajiri uchaguzi wake.
  3. Shoga yake EL kesha mfitini NEC na CC
  4. Orodha ni ndefu. Kifupi mfitini si mtu mzuri

  ANGALIA TULIVYO NA MAISHA MAGUMU KWA SASA HAPA TANZANIA. NiI matokeo ya FITINA za mtu anayeishi magogoni (JK). Mfitina anataka yeye tu.
   
 8. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #247
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  NIMESOMA COMMENT ZOTE MWANZO MPAKA MWISHO

  I FEEL SO COLD

  KUMBE TATIZO NI KUBWA KULIKO NILIVYOFIKIRIA MWANZO

  hii ya jk kutomuita mwalimu baba wa taifa nitaifuatilia kwenye hotuba zake

  nayeye kupelekwa wilayani kuwa KAMISAA wa siasa kutoka monduli kuna mengi ya kujiuliza
  hakuna mzee(mwanajeshi) wa zama jasiri kutumwagia ukweli wa haya mambo

   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #248
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hahahahaha! Hiki kisa ni noumer! Jk simpatii picha!
   
 10. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #249
  Sep 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Hapakuwa na photocopy machine wakati ule
   
 11. Kumbakumba

  Kumbakumba JF-Expert Member

  #250
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee Sayore namfahamu vizuri,ni mtu asiependa upumbavu..Na ni kweli ni mkulima mkubwa ana mashamba makubwa maeneo ya lokisale mkoa wa manyara
   
 12. Mashamba

  Mashamba JF-Expert Member

  #251
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  aah, wengi tunamjua kwa nje!!lakin hiki kidingi kina mambo mengi
   
 13. L

  Lua JF-Expert Member

  #252
  Sep 8, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mazoea hujenga tabia!
   
 14. S

  Safre JF-Expert Member

  #253
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi hakunamtu aliyekuwa anasoma nae atujuze meng
   
 15. S

  Safre JF-Expert Member

  #254
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii kitu tunaweza kupima kama ni kwel au uongo waandishi wa habari c mpo humu jf twambien jk hajawahi kusema BABA WA TAIFA tusaidiane
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #255
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Jamani kama mnakumbuka ilishakuja thread ya Kikwete na monduli sio siku nyingi sana na nilicomednt kuwa hakustaafu ila alikimbia, it true story
  and frankly i got the info from my father who is a friend and neighbour of Gen. Sayore,

  BIG UP mwanzisha sredi.
   
 17. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #256
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ningependa kujuzwa juu ya Maj. Gen Sayore, alikuwa mkali eeh?
   
 18. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #257
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Bora asingelikimbia tungelikuwa na kiongozi bora!!
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #258
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa siji kuwa kutomwita Mwl Nyerere baba wa taifa ni kosa.
   
 20. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #259
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni maelezo mazito sana haya na vijidoti vingi sana kuweza kuunganika tangu Monduli, Lindi hadi Butiama wakuu!!!!!!!!!!!!

   
 21. V

  Victim Member

  #260
  Sep 9, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
   
Loading...