Kikwete aliuwezaje huu usanii wa "hata mi mwenyewe ndo nalisikia saa hizi"?

jailos mrisho

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
412
1,000
JK Kiongozi anyejiamini

Waliomfuata baada yake wako very insecure

Mmoja akaamuru Lissu amiminiwe risasi auawe

Mwingine kampa Mbowe kesi ya Ugaidi

Yaani wanatumia miguvu miiingi badala ya kujibu hoja kwa hoja
Heee...!! Huwa nawashangaa watz wanaowashabikia wapinzani haswaa chadema..leo hii nawe unakuja kusema jk alikuwa anajiamn kwamba unamkubali..mfyuu hv nyie mna shida gani? Yaan kati ya vyama vilivyokuwa na watu mazezeta nazani ni chadema..nyie c ndo mlimwita rais dhaifu!? Mtu dhaifu huwa anajiamn yeleuwiiii...ngachokaaa..sijawah ona watu wa aina hii duniani..yaan wanakula matapish yaoo..aiseee chadema nimeam ni genge la magaidi.
 

Full Blood Picture

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
607
1,000
Unadhani wachina walikosea kumtunuku JK uprofesa? Jibu ni hapana. Walimjua kwamba JK ni mwanasiasa aliye bobea. Yule jamaa ndo maana anaonekana kijana kila leo. Unajua ukiwa na hasira na kupambana na watu unafupisha siku za kuishi. Nina fikiria JK hakuwa mtu wa kusikiliza wambea wambea...ndo maana akasema akiliza kuambiwa changanya na za kwako. Yule jamaa hapana, achana naye.
 

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
8,642
2,000
Swali gumu kwa Kikwete: FEDHA ZA ESCROW NI MALI YA SERIKALI AU SINGASINGA NA RUGEMALILA? hatoweza kujibu hadi anaingia kaburini.

Unafikiri kwanini Ruge ameigomea plea bargain na yuko tayari kufia mahabusu... JK alijibu ile hela ni mali ya IPTL sio ya Serikali...tusubiri kumlipa Ruge mabilioni siku moja..
 

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,106
2,000
Unafikiri kwanini Ruge ameigomea plea bargain na yuko tayari kufia mahabusu... JK alijibu ile hela ni mali ya IPTL sio ya Serikali...tusubiri kumlipa Ruge mabilioni siku moja..

Still ukimuuliza leo atakujibu kwa upole na tabasamu kuwa " maneno ya Ruge mi siyajui hata mimi ndo nayasikia saa hizi"
 

mweusi asili

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
1,200
2,000
Jamaa siasa anaijua kwa kuisoma na kuzaliwa. Ndio maana aliwambia wanaCCM wenzie kuwa hoja ujibiwa kwa hoja, alipenda maridhiano na majadiliano
 

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,106
2,000
Heee..tenaa mmemgeukia na huyuu mliemwita dhaifuu kwamba he was smart! Angalien msijemkamwambia agombee upande wa chadema 2025..mana nyie ninwazee wa kuyarudia matapish yenuu..
Ndiyo alikuwa dhaifu.

Lakini pia uzi huu haujamsifia mkuu.

Umeuliza tu JK aliweza hiyo tabia, aliweza kutopanic au kufume kwa haraka?
 

Kaburiwazi

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
278
250
Unaikumbuka ile ya Escrow, nchi nzima inamsubiri Rais atoke kwenye matibabu ya tezi dume Marekani ili atoe neno lake..

Akafika Airport akaongea kuhusu ugonjwa wake ulivyoanza, alivyoiaga familia yake, alivyopokelewa na kutibiwa Marekani, kisha akaaga na kuelekea Ikulu, hakutaja neno Escrow hata mara moja..
Kwahiyo mheshimiwa alikuwa na tezi dume? Naye alipimwa na kipimo ogopeshi?
 

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,106
2,000
Wanajamvi wengine wanakariri humu kuwa kila mwanajamvi ana upande wake... So ni kupingana tu. Ukiweka hoja utaambiwa, mbona mbowe hivi, mara mbona mama hivi, mbona jiwe alikuwa vile, mbona zzk hivi, mbona ndugai hivi, mbona lissu vile... Hatuna tabia ya kuangalia hoja na kujibu ndani ya hoja na kuweka hisia binafsi pembeni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom