Kikwete alitumia vigezo gani kwenda UoD na Rais Museveni,Mwinyi na EDWARD LOWASSA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete alitumia vigezo gani kwenda UoD na Rais Museveni,Mwinyi na EDWARD LOWASSA?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by trachomatis, Oct 22, 2011.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Naona ajabu wakati mwingine hii nchi yetu. Ndiyo maana I swear I didn't like him 2005! I looked into his eyes and I knew the Presidency ni post kubwa sana kwake. Haikumfaa na bado haimfai! Ndiyo maana ombwe la uongozi wa serikali linaonekana hata na mtoto wa shule! Jinsi alivyompa Nape majukumu ya chama chake na anavyoyatekeleza.. Hafit kiuongozi.Yuko kama mlinzi wa nyumba.Kuna wanaompigia honi,afungue geti na kufunga. Ama kumtuma akakukununulie hata vocha!
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mbona wapo wengi waliopitia hapo na wana heshima zao kubwa tu? Kwanini EL? Basi kama alivyowekwa pembeni Sitta kwenye Uspika,angemchukua mwanamama yeyote basi kama palikosekana mtu!
   
 3. m

  mahuwi Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Those are friends EL alishasema na hawajakutana barabarani. Sio tatizo kwake kuwaza kuwa mtu wa kuambatana nae ni EL
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Yaani.. Self esteem huwa haiwezekani kwa kweli..
   
Loading...