Kikwete alipokea taarifa ya uchunguzi siku 1 baada ya Luhanjo kuamua kumrudisha Jairo

tarehe 24 Jalo alirudi ofcn na kulakiwa na nguchiro wenzake, nguchiro mkuu akaenda nae kwa Rais. Je, Waliongea nini? Kama cyo kuwadharau wananch na bunge lao?

Hii taarifa hakuna cha zaidi ila kujibu hoja za wana jf kuwa JK NI KIGEUGEU.Yaani tumejibiwa wana jf kuwa yeye sio kigeu geu na wala hajajichanganya.huyu mwandishi hajatulia.direct response!

wapendwa,

hii ni rubish!! luhanjo hana ubavu wa kumsimammisha wala kumrudisha kazini Jairo wala katibu mkuu wa wizara nyingine yoyote bila ridhaa ya rais. Wasitudanganye hao, walikuwa na mawasiliano mazuri tu. Wamepima upepo ndio wakaamua watoke hivyo.

TZ tuna kazi kubwa sana katika uongozi wetu

Tusiache kuliombea taifa letu

Kwahiyo siku hizi ripoti zinafika kwa luhanjo kwanza alaf Raisi au ndo Protocol mupya

Naomba nitoke naogopa kuharibu afya yangu kwa vidonda vya tumbo vya kuwaza kuhusu rais nisiyemchagua

Hivi huku ikulu kuna watu wanajua kuandika kiswahili sahihi!!! makosa ya kisarufi ni mengi kana kwamba taarifa hii imeandikwa na mtu anayetumia simu isiyokuwa na 'space button'. Taarifa mbovu kabisa na ni ya kipuuzi kwani haina lolote linayoifanya isimame kama taarifa ya IKULU. Tuna kazi na huu UKIGEUGEU, mambo mengi yasiyo na maana bora hata unga wa ngano

Sasa huyu luhanjo alipata wapi ujasiri wa kumrudisha kazini Jairo wakati waziri mkuu Pinda alishindwa kumshimamisha kazi mpaka JK aliporudi.
Hawa jamaa naona sasa hata aibu wamekosa kabisa! Kwenye hii kitu lazima Luhanjo alikuwa amewasiliana na JK na ndiyo maana mara ya kwanza alisubiri mpaka JK amerudi toka south ndiyo akamsimamisha kazi.....! Naona waliusoma vizuri upepo wa bunge na mood ya wananchi wakaona hakuna jinsi!

Kwa mujibu wa TBC taifa raisi Kikwete alipokea taarifa ya uchunguzi juu ya Jairo asubuhi ya tarehe 25 na baada ya kuisoma aliamuru Jairo asirudi kazini hadi yeye mwenyewe rais atakapoamua namna muafaka ya kufanya hivo.

Taarifa ya Ikulu inasisitiza kuwa rais hakushinikizwa na mtu yeyote kuamua Jairo asirudi kazini. Itakumbukwa kuwa Luhanjo alikutana na waandishi asubuhi ya tarehe 24 na kutangaza kumrudisha kazini.

Niishie hapo, tu maana nimepata kichefuchefu niliposikia habari hiyo. So ngoja nikatapike kwanza.

hii mijitu mipumbafuu sana ndo maana masaburi anasema akili zimewakaa makalioni....how come Luhanjo amrudishe jairo kazini wakati rais aliyemteua hajui?? Jk hebu ondoka kasimamie shamba lako la mananasi huwezi kuwa rais bwana....unatia aibu tu

Kwa mujibu wa TBC taifa raisi Kikwete alipokea taarifa ya uchunguzi juu ya Jairo asubuhi ya tarehe 25 na baada ya kuisoma aliamuru Jairo asirudi kazini hadi yeye mwenyewe rais atakapoamua namna muafaka ya kufanya hivo.

Taarifa ya Ikulu inasisitiza kuwa rais hakushinikizwa na mtu yeyote kuamua Jairo asirudi kazini. Itakumbukwa kuwa Luhanjo alikutana na waandishi asubuhi ya tarehe 24 na kutangaza kumrudisha kazini.

Niishie hapo, tu maana nimepata kichefuchefu niliposikia habari hiyo. So ngoja nikatapike kwanza.

Huu ni upumbavu uliokithiri! Tena hao waikulu wasidhani watanzania ni wajinga kiasi hichi! Wakati ripoti inasomwa Salva alikuwa amesimama

pembeni. Kumbe kazi ya kurugenzi ya mawasiliano nini kama wanafanya kitu kizito namna hii halafu raisi hajui mpaka siku moja baadae?

Kumbe baada ya pale badala ya Salva kumwambia boss wake alienda kulala kama wassira? Sijui neno gani linawafaa hawa, . . . . labda mnisaidie

Kwa maelezo toka IKULU ni kuwa kila mteule wa Rais ni rais pale alipo na hivyo anaweza kufanya maamuzi yoyote pale alipo bila kumshirikisha mwenye nchi (rais). Hii inachefua zaidi ... Ndo maana tuna mafisadi kama kina EL, RA, AC na wengine ambao ndo wanaoendesha nchi hii na jamaa akila biscuit tu pale ikulu. Iliwahi kudokezwa na king of kings ... walijadili sasa wanapotezea ...

quote_icon.png
By King of Kings
UPDATES: 25/8/2011

Ikulu ya cheza picha la kihindi! Jana baada ya mkuu wa kaya kurudi magogoni kilikalika kikao na bwana Luhanjo akatoa taarifa ya kikao chake na akina Jairo na ikajadiliwa hali ya mambo bungeni!
Moja ya nilichokitafsiri ni kuwa Ikulu na Bungu wanatofautiana sana juu ya Jairo!
Maamuzi ya kikao cha usiku wa jana ni kuwa kwakuwa mda wa Luhanjo kustaafu ulishafika na mpaka leo yupo kwa hisani ya mkuu wa kaya basi walizuge taifa kuonyesha umma kuwa ikulu imesikitishwa na maamuzi ya Luhanjo hivyo imemtimua kazi!
Wazo hilo alilito Luhanjo mwenyewe, japo kikwete alisita kidogo lakini Luhanjo alifafanua jinzi mbinu hii itakavyo badili upepo na hali ya mambo itakuwa shwari ndipo mkuu wa kaya akakubali wazo hilo!

Spika wa bunge aliwasiliana na mkuu wa kaya mida ya saa nne na dk kumi na akamueleza dhamira ya bunge kuomba ushauri:
1. Nani awaweke katika kamati
2. Nini wakifanye hao wanakamati

Mkuu wa kaya akaomba kuwa ngoja atulize kichwa kwanza atatoa dokezo!!
Kikubwa msitegemee jipya kutoka ktk kamati hiyo kwakuwa inateuliwa na ikulu!
Last edited by Jason bourne; Today at 08:15 AM.​

Inaelekea huyu Jason Bourne ameisaliti ikulu. Ina maana huyu Jason ndo nani hadi awe anakaa na rais kwenye vikao mhimu na kutoa siri zote hapa? Its real funny, hii ikulu sasa ni sarakasi tupu.

Kwa mujibu wa TBC taifa raisi Kikwete alipokea taarifa ya uchunguzi juu ya Jairo asubuhi ya tarehe 25 na baada ya kuisoma aliamuru Jairo asirudi kazini hadi yeye mwenyewe rais atakapoamua namna muafaka ya kufanya hivo.

Taarifa ya Ikulu inasisitiza kuwa rais hakushinikizwa na mtu yeyote kuamua Jairo asirudi kazini. Itakumbukwa kuwa Luhanjo alikutana na waandishi asubuhi ya tarehe 24 na kutangaza kumrudisha kazini.

Niishie hapo, tu maana nimepata kichefuchefu niliposikia habari hiyo. So ngoja nikatapike kwanza.

hahahahaaaaaaaaa!

Back
Top Bottom