Kikwete alikuwa na maono mazuri

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Ukimsikiliza JK ni kweli alikuwa Rais bora sana.. alitufanya raia tujione tunawajibu na taifa hili kwa kukubali kutupa uhuru wa kuchagua na kuwajibisha viongozi.

Napenda anavyo zungumzia rule of law. Na anaonekana alitamani sana taasisi ndio ziwajibike badala ya kauli ya rais.

JK wasikubeze , utakuja kukumbukwa.

Kuwa uwezekano tukaingia kwenye crisis moja kali sana

Amini nakwambia, chochote utachotaka kukisifia hutokosa neno
 
Maono yake 2025.. Magufuli anatupoteza.

Mfano anasema zaeni tuu bila kujua uzazi usio na plan ni mwanzo wa umaskini..

Enzi za JK Tanzania ilikua inakimbia kiuchumi na maisha ya raia yalikua yanaleta taswira ya uchumi

Magufuli wakati anaingia plan ilikua ni kufanya uchumi ukue kwa 10%

Cha ajabu baada ya four years uchumi unakua kwa 4%

Nini kimetokea ?

Kabisa na hili ni kosa kubwa sana mkuu anafanya..

Rule of law ilifanya taasisi ziheshimike. Leo hata bunge halina kazi
Huyo alikuwa ni Rais wa kiwango ambacho Tanzania kwa ukubwa wake ilikuwa INA deserve ! Huwezi kuwa na Nchi ambayo hakuna Rule of Law, Democracy na Freedom of expression halafu mnajipiga "vifua mbere" eti mnaleta " maendereo".Hizo ni akili za " kibashite" na " kilusinde sinde"!
 
Ukimsikiliza JK ni kweli alikuwa Rais bora sana.. alitufanya raia tujione tunawajibu na taifa hili kwa kukubali kutupa uhuru wa kuchagua na kuqajibisha viongozi.

Napenda anavyo zungumzia rule of law. Na anaonekana alitamani sana taasisi ndio ziwajibike badala ya kauli ya rais.

JK wasikubeze , utakuja kukumbukwa.

Subiri na yeye atatangazwa mtakatifu soon if at all Catholic hawako bias
 
Ukimsikiliza JK ni kweli alikuwa Rais bora sana.. alitufanya raia tujione tunawajibu na taifa hili kwa kukubali kutupa uhuru wa kuchagua na kuqajibisha viongozi.

Napenda anavyo zungumzia rule of law. Na anaonekana alitamani sana taasisi ndio ziwajibike badala ya kauli ya rais.

JK wasikubeze , utakuja kukumbukwa.

Unless you are an amateur, kikwete was a bogus president
 
Ukimsikiliza JK ni kweli alikuwa Rais bora sana.. alitufanya raia tujione tunawajibu na taifa hili kwa kukubali kutupa uhuru wa kuchagua na kuqajibisha viongozi.

Napenda anavyo zungumzia rule of law. Na anaonekana alitamani sana taasisi ndio ziwajibike badala ya kauli ya rais.

JK wasikubeze , utakuja kukumbukwa.

Tatizo kubwa ni unafiki wa watanzania.
JK alikuwa bonge la rais. Tatizo lake aliacha watu wamchezee sharubu...walimuita dhaifu, legelege, analeta uswahiba na bado alicheka tu na hao watu...
 
Maono yake 2025.. Magufuli anatupoteza.

Mfano anasema zaeni tuu bila kujua uzazi usio na plan ni mwanzo wa umaskini..

Uzazi ni uamuzi wako, kama mtu anakupangia nawe unafuata maagizo yake basi una matatizo wewe sio yeye.
 
Maono yake 2025.. Magufuli anatupoteza.

Mfano anasema zaeni tuu bila kujua uzazi usio na plan ni mwanzo wa umaskini..

Nonsense. Kuzaa ni mtaji. Wewe mwanaume wa Dar usichukulie na sisi wengine ni kama wewe. Mimi kwetu tumezaliwa zaidi ya 20. Baba alikuwa na wanawake wa 3. Bado tulikula, tulifurahi na tunaishi, tumesoma. Kwa kweli nilifurahia na ninafurahia maisha yale na mimi napanga nipate idadi kubwa ya watoto...Mungu anibariki.

Kutozaa ni moja ya viroho vya kichoyo kichoyo na uchawi. Kama unazaa watoto wa 2, akija mtoto wa jirani yako utamtunza kwa moyo mmoja kweli? Sisi hatuna hiyo. VIJANA ZAENI.
 
Unatishwa na vimikutani uchwara hivyo. Kikubwa ni kupiga kazi tu. Magufuli hafanyi hivi vimikutano na bado anapiga kazi. Kwa ufupi Kikwete alifanya hivi vimikutano ili kupiga pesa tu za umma.
 
Enzi za JK Tanzania ilikua inakimbia kiuchumi na maisha ya raia yalikua yanaleta taswira ya uchumi

Unawajua mabeberu wewe? Lazima wakusifu ili wakugonge vizuri. Hicho ndicho walikuwa wanakifanya. Usiwe kipofu kiasi hicho. Watakupa mpaka shahada za bure ili kichwa kiwe kizito kama kontena halafu wakuchune vizuri ukiwa chali. Kikwete alikuwa victim wa mabeberu ndiyo ametufikisha hapo tulipokuwa 2015.
 
Nonsense. Kuzaa ni mtaji. Wewe mwanaume wa Dar usichukulie na sisi wengine ni kama wewe. Mimi kwetu tumezaliwa zaidi ya 20. Baba alikuwa na wanawake wa 3. Bado tulikula, tulifurahi na tunaishi, tumesoma. Kwa kweli nilifurahia na ninafurahia maisha yale na mimi napanga nipate idadi kubwa ya watoto...Mungu anibariki.

Kutozaa ni moja ya viroho vya kichoyo kichoyo na uchawi. Kama unazaa watoto wa 2, akija mtoto wa jirani yako utamtunza kwa moyo mmoja kweli? Sisi hatuna hiyo. VIJANA ZAENI.
Una roho ya kimaskini sana..
 
Back
Top Bottom