- Thread starter
- #21
Nadhani hapa umemsahau best prezdaa wako jinsi anavyomiliki wanawake mashangingi kila kona ya mjini tena makahaba mpaka amefikia hatua ya kuwapa vyeo Kila anapopendezwa naye.Kumbuka kuwa padre alishaacha kazi hiyo na alikwenda kumwoa mwanamke aliyeachika na hakuwa mke wa mtu acha unazi wako wa kulelewa kambini kwa msaada wa nyerereThis is the best president ever for TANZANIA. Heri yeye anatalii, sasa wakuiba wake za watu je? si heri azurure badala ya kuvamia wake za watu kwenye mabaa, haa padri?