Kikwete akubaliana na Mnyika kuondoa udhaifu, Kabaka na Werema watakiwa kutoa kauli bungeni

Nielimishe mkuu namna inavyofanya kazi maana mie nimeangalia kwa angle mbili kujitoa kwa wanachama wengi pia namna mifuko inavyotumia fedha mfano kuikopesha serikali fedha kujenga infrastructure zisizo na tija hapa ndio pana shida mwisho wa siku mifuko inabaki na nini?. Serikali ikikopa taasisi zake kwa siasa za Tz ulipaji unakuwa mgumu, hiyo niliyochangia mie kuhusu kufilisika ni chombeza tu katika kuonyesha namna gani idadi ya wateja (client) itavyoshuka including mie tutakavyochangamkia fao la kujitoa kwa kuchukua chetu mapema once mikataba yetu itakapoisha japokuwa miaka ya nyuma ilikuwa wachache wanakimbilia fao la kujitoa kwa kuwa walikuwa wanaamini kwamba siku hali ikiwa tight ndio wanaenda kulichukua (mara nyingi baada ya miezi 6 au zaidi) lakini kwa sasa hivi wachache watakuwa wavumilivu kuziacha huko.

Si kufilisika kabisa but kushuka kwa kiwango cha wateja inayotokana na kujitoa kwani mifuko ya jamii ni kama vile bank zinavyofanya kazi (anapotoa hela huyu kuna mwingine anaingiza fedha hivyo inaendelea kuwepo)

Ila tusijihakikishie sana kwamba mifuko hii haiwezi kufilisika kwa kuwa sasa hivi si kama zamani kwamba NSSF ilikuwa kwa private comany / organisation, PPF for mashirika ya uma na mifuko mingine ilikuwa kwa wafanyakazi wa serikali za mitaa, kwa hiyo kila mfuko ulikuwa unapita kule ambako inapaswa kwenda na kufanya kazi kama sheria ya mifuko ya jamii inavyotaka lakini kwa hali ilivyo sasa mifuko ya jamii ipo mingi na yote imeruhusiwa kuchukua wateja wa aina tofautitofauti hasa kutoka private organisation hivyo kwa mtaji huu kuna uwezekano wa mfuko ambao utakuwa weak kwenye kutafuta wateja ukabaki hoi ukichanganya mifuko yenyewe inakopwa kujenga miundombinu mbalimbali ambayo inaingiza ela kwa muda mrefu.

ulivyosema hii mifuko inafanya kazi benki uko sawa kwa maana kwamba wote wamepewa leseni ya kukusanya bure fedha za bure kutoka kwa wananchi, lakini zinatofautiana katika matumizi na uwekezaji wa hizo fedha, benki zinawekeza pesa katika amana za muda mfupi ambazo ni so liquid, kwa sababu wateja wa benki wana haki ya kupata fedha walizoweka on demand and on short notice, hivyo benki kufilisika ni jambo lisilo hitaji nguvu,hasa inapotokea kitu inayoitwa bank-run.

mifuko ya jamii wanachama wake wengi hawezi kutoa fedha walizochangia on short notice at least wengi wanaotoa fedha mapema huwa ni wale waliochangia kwa at least mwaka mmoja mpaka miaka mitatu hawa wengi huwa ni wale wenye ajira za mkataba wa muda mfupi na vibarua. hii mifuko inabebwa na watumishi walio katika mikataba ya kudumu, na uchunguzi unaonyesha watanzania wengi walio katika ajira za kudumu ni waoga kuacha kazi kwa sababu wengi wanaamini katika maisha ya kuajiriwa. kwa kulijua hili hii mifuko imekuwa ikiwekeza katika amana za muda mrefu, na kutoa mikopo ya muda mrefu ambayo inaenda kwa miaka kumi na tano na kuendelea.

tatizo ni pale mifuko hii inapoacha ku-invest na ku-gamble hela za wanachama kwa vimemo vya wanasiasa katika miradi kama UDOM na daraja la kigamboni, otherwise hii mifuko haiwezi kufilisika.
 
Asante mkuu kwa kutiririka na nimekupa like humo bolded, unajua wengi walio katika ajira ya kudumu wanaamini kwenye haki zao baada ya kustaafu na unaweza kukuta kuna deal zuri kweli mtu anaogopa kuacha kazi kisa anafikiria haki zake baada ya kustaafu na ndio maana katika kelele zote hizi kuhusu fao la kujitoa hatujasikia kelele kutoka kwa viongozi wa mashirikisho ya wafanyakazi kwa kuwa mashirikisho haya wanachama wake wengi wana ajira ya kudumu.
 
Aisee wiki ijayo naanza process za kuvuta mpunga wangu maana hii ni green light.
 
Back
Top Bottom