sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,896
- 5,302
Haya warema na kabaka tunataka kauli zenu!
Huwa hawakosi kauli mkuu, viongozi wa Serikali hii kwa mistari tu! hawajambo.
Haya warema na kabaka tunataka kauli zenu!
Nini 'deadline' ya hiyo kauli? Isije ikatolewa mwaka 2030 baada ya serikalli kurejesha madeni ya NSSF.
OLE WAO...!!!BORA WAMEBADILISHA MSIMAMO,,,JASHO LANGU MIMI WEWE ULIPANGIE MATUMIZI ILI IWEJE
ETI HAD IFKE MIAKA 60 LIFE EXPECTANCY YENYEWE KIBONGO BONGO MWACHE MWACHE EBO...!!
NA NACHUKUA CHANGU KABISAAA MANA MSHANISTUSHA,SINA IMANI NA NYIE KABISA..
:smile: :smile:
ni kweli maana miaka ya nyuma fao la kujitoa lilikuwepo lakini watu walikuwa wana hiari ya kulichukua au kutokulichukua na wengi walikuwa wanajitahidi kuliacha mpaka wanapopata ajira nyingine lakini kwa mtaji huu kila ataeacha kazi anachukua chake na mwisho wa siku mifuko mifuko itafilisike.
Waziri kabaka alibaka wafanyakazi wa migodini kwa kukaba, ila Mnyika ka Mnyuka Sodakta, Sasa hakuna kusubiri kauli ni kwenda kuchukua Mafao tu kwa kwendaa mbeleeeeeeee, Kabaka tumeku werema na mkaeeremewaaaaaa
Naomba Mungu habari hii iwe ni ya kweli
Mkuu tena ondoa shaka hii ni kweli kabisa jamaa kakubali yaishe, mbele ya jembe Mnyika nani wa kubisha hoja zake? chezea wewe!!
umeongea hewa, ulisikia wapi mifuko ya jamii inafilisika? Unajua jinsi inavyofanya kazi?
Nashukuru mungu kama hi habari ni yakwel. Nilishazuiliwa fao langu baada ya kuacha kazi.