Kikwete Akubali Sera za Chadema, achangia harambee ya Chadema 10m/- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Akubali Sera za Chadema, achangia harambee ya Chadema 10m/-

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gambatoto, May 26, 2011.

 1. g

  gambatoto Senior Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameahidi kutoa Sh. Milioni 10 kwa kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya Elimu ya Jimbo la Nyamagana linaloongozwa na Mbunge Ezekia Wenje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chandema).

  Mytake: Nampongeza Rais kwa kutokuwa mnafiki, ameonesha waziwazi jinsi anavyokunwa na sera za CDM za maendeleo

  Source: Nipashe
  Home
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Mbona hii sio habari hapa? imesharipotiwa siku 3 zilizopita, tafuta thred yake utaiona.
   
Loading...