Kauli kama hizo zinatolewa kwa kuwa wanaona watanzania si werevu wa kung'amua na kuchanganua mambo.
ni kweli kabisa KIkwete wetu amekimbia kelele zenu mara migomo, mara maandamano mara akihutubia mna cout vimaneno kama kile alichosema "tukawaambia mahakama wasimamishe mgomo" mara EPA mara best wake Lowasa kamnunia, mara akienda kwa Bush Mwalalamika sasa kaendaga LIBYA ahah tumsameheni jamani atarudi nyumbani ni sawa na baba mama akiwa na gubu anatafuta sababu za kutokuwepo nyumbani........................ila angalia baba wa jirani asije akakusaidia then ukaanza ohh ni mafisadi wameamua kuniangusha kwa sababu si kuwasamehe completely .....................