bluecolour
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 201
- 98
Kwa Mujibu Wa Habari Za Uhakika Zilizoripotiwa Kutoka Magogoni (state House) 'Big Boss' Kwa Mara Nyingine Amekataa Katakata Team Yake Ya Ulinzi Na Usalama Isi-staafu Na Ameagiza Wapewe Mikata Mipya Walau Hadi 2015 Baada Ya Uchaguzi Mkuu.. Wote Tunakumbu Igp Mwema, Kova, Mangu, Kanyala Ilikuwa Wastaafu June Mwaka Huu Lakn Kwa Sababu Zisizofahamika Walipewa Mikataba Ya Miezi Sita Hadi Dec 31 Mwaka Huu... Ajabu Watu Wakiwa Bado Wanaulizia Mikataba Hiyo Sasa Wameongezwa Mikataba Mipya Tena Mirefu Ya Hadi 2015..! Katika Kundi Hili Wako Akina Mwema, Zoka, Kova, Kanyala, Mangu Na Wengne Wengi... My Take Hivi 'Big Boss' Katika Idara Hizi Kawaona Hao Tuu...? Mbona Kuna Watumishi Wengi Wanaoweza Kuchukua Nafasi Zao Kuna Nini Mpaka Awang'ang'anie Hawa Watu....???