Kikwete ajipa jina la daraja kabla ya ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ajipa jina la daraja kabla ya ujenzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 6, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Hapa ndipo ninapo amini Mkapa na uhuni wake alikuwa kichwa kuliko Kikwete, rais Kikwete amekwenda Kigoma kufungua daraja baada ya muda wakalipa jina la daraja la Kikwete.

  Kwa nini nasema hivi kama mnakumbuka daraja la Mkapa akiwa rais alienda kulifungua akakuta daraja alijamalizika akaomba wakome kabisa kuliita daraja la Mkapa anakuja kufungua daraja lillilokamilika sio upepo kazi kweli kweli, jamaa kafungua jiwe la ujenzi akaukwa udaraja

  Kikwete we rais wangu kuwa makini Mkapa alikataa hili sababu alijua uhuni wa makandarasi walioongozwa na mhuni mwenzao Magufuli na ukifanya mchezo mpaka unaondoka utaabaaki kuona jiwe lako tu ulilofungua.

  Tembea uone
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Ushauri wako hautamsaidia na wala hataufanyia kazi kamwe! Wameshindwa kumshauri wapambe wake sembuse mimi na wewe?
   
 3. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wewe Jason unataka aandike nini?
  YES we can hukuiona wewe
   
 4. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha haaaaaaa! Umenikumbusha jiwe la msingi aliloweka kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi, hadi leo hakuna kinachoendelea. Huyu mzee ni mzigo kwa taifa.
   
 5. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mzee umefunga hii topic vizuri sasa Huyu mzee ni mzigo kwa taifa.[SUP]​[/SUP]
   
 6. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  umenena msg send!
   
 7. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Asanteni kwa kunena ukweli!
   
 8. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,197
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hebu tukumbushane jamani hivi daraja la umoja (mpakani na Tanzania na Msumbiji) lina urefu gani na lilichukua muda gani kukamika?
   
 9. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Kwa hili siwezi kuliongelea maana is too much, ( tia maji tia maji!) hiyo
   
Loading...