Mkuu ndio unalitambua hilo leo? JK yupo kwa maslahi binafsi, familia yake na jamaa zake akina Lowassa na Rostam. Sasa hivi amekaa kimya kuhusu Dowans kwasababu hizo Tsh 185 billions yeye na akina Lowassa, Rostam na Mkono ndio walipwaji. Hana hata chembe ya huruma na umaskini wetu. Kumbuka pia hiki ndio kipindi chake cha mwisho kwahiyo ndio muda wa kujilimbikizia mali.Huyu ndugu bwana!sasa yeye anaona ni muhimu sana kuhudhuria uzinduzi wa kaburi badala ya kutulia nyumbani na kushughulikia matatizo yetu.Yaani inavyoonekana huyu bwana hana nia nzuri na nchi hii!
huyo ndio mkwere aka kristofa columbus the traveller. He waz born to travell. Ana enjoy sana maisha ndani ya jet yake a
mbayo mwandosya alisema bora wananchi wale majani lakini ndege ya rais ininunuliwe. Kula bata mkwere safiri ukitaka hadi mwezini, wanakupenda sana watanzania. Mi simo nisajawahi mchagua hata siku moja.
Balozi wa Malawi ni Patrick Tsere... Kaka najua wewe ni member hapa... Hebu tujuze... Halafu kwanini wenzetu hela yao ina thamani kubwa kushinda yetu?
Naona bruce lee umechemka kdogo,huyu ***** wenu huwezimfananisha na kristofa kolumbus,maana huyu ni
mzururaji tu wa kawaida.Na si Mwandosya aliyesema hivyo ni basil
pesambili mramba.Na ninyi mods kwani neno ***** lina tatizo gani?
Rais wa Malawi, Bingu Mutharika, Ijumaa iliyopita alizindua kaburi la kifahari la aina ya jumba la taj Mahal lililopo India.
Sherehe hizo zilisusiwa na Makamu wa Raisi wa nchi, Speaker, Wakatoliki na wapinzani.
JK na rais Banda wa Zambia ndo tu waliokuwepo.
Swali: Hivi JK hana balozi kule kumtaarifu kuwa hicho si kitu kinachopendwa na wananchi wa kule hivyo si bora kuhudhuria?
Alafu mbona alienda huko na kurudi kimya kimya?
Hili mnalionaje?
Source: Raia Mwema Dec 29- Jan.4 uk 21
Haa kumbe source ni Raia Mwema, gazeti ambalo linajulikana siku kwa jina ' ANDIKA MAOVU YA SERIKALI ILI UPATE UMAARUFU ' . Na vile vile ni gazeti ambalo limenunuliwa na CHADEMA pamoja na Tanzania Daima
Kwa nini huyo mwanamke kazikwa kwenye kaburi kama hilo????
Kumbe wanaandika maovu ya serikali? sasa wewe ulitaka maovu yasifichuliwe? ili iweje kwa maslahi ya Taifa kama maovu yanafichwa?Haa kumbe source ni Raia Mwema, gazeti ambalo linajulikana siku kwa jina ' ANDIKA MAOVU YA SERIKALI ILI UPATE UMAARUFU ' . Na vile vile ni gazeti ambalo limenunuliwa na CHADEMA pamoja na Tanzania Daima
huyo ndio mkwere aka kristofa columbus the traveller. He waz born to travell. Ana enjoy sana maisha ndani ya jet yake ambayo mwandosya alisema bora wananchi wale majani lakini ndege ya rais ininunuliwe. Kula bata mkwere safiri ukitaka hadi mwezini, wanakupenda sana watanzania. Mi simo nisajawahi mchagua hata siku moja.
duh,kwa nini asingetuma hata mwakilishi tu,hata kumtuma waziri mkuu nayo angemkosea heshima,yani kule angeenda tu hata mkuu wa wilaya kutuwakilisha. shame on him!!! shame on us!!