Kikwete agoma kusaini waraka kuhusu wabunge kujipandishia posho

Wabongo just keep talking while neighbours are acting and the world is moving very fast,until you wakeup then you will realise that you don't belong nowhere but in slavery.
 
Wabongo just keep talking while neighbours are acting and remember the world is moving very fast,until you wakeup then you will realise that you don't belong nowhere but in slavery.
 
It doesn't matter.....In Tanzania.. everything is possible.. hata kama posho ingepandishwa to 70,000 hadi 1,000,000 kwa siku.. Watu watapiga kelele, wataandika kwenye magazeti, wataandika kwenye blog & JF, lakini at the end, watarudi kwenye umasikini, kulala kwenye giza, kukosa maji, kukosa madawa, kukosa chakula na mwisho watu watatoa tabasamu pevu kwa wale wanao-wadhulumu.. ..Ni moja ya maajabu 7 ya dunia! Where is our line in a Guinness World Records book?

yani wewe ni intellectual.. wa TZ wachache sana wanaweza ongea ukweli kama huu.!
 
Kusema kweli imenisikitisha sana kusoma kwamba mwaka ulopita posho zenye thamani ya Tsh Billioni 360 zililipwa juu ya mishahara viongozi wetu hupewa..Na yasemekana ni zaidi ya total salaries na wages combined paid kwa watumishi wa serikali.. Na wala sii swala la kutolipwa hizi posho isipokuwa ni Ushenzi unaofanywa na hawa hawa viongozi wetu wanapokwenda katika vikao hivyo wanaondoka sehemu zao za kazi wakilipwa mshahara kwa siku hiyo pamoja na posho juu hata kama hawakuzalisha chochote kazini kwao.

Hii kusema kweli sidhani kama ni uataratibu mzuri na hakika umaskini wetu ni wakujitakia maana mtu anaondoka na billioni kwa mwaka kama pato lake halafu basi hata kodi halipi jamani?.. Kisha budget yetu haijtoshelezi tunaenda kukopa nchi za nje kwa kujilimbikiza madeni ili kukidhi matumizi kama haya... Damn, mimi naona turudishe UJAMAA kwanza kama Nyerere alivyoshtukia Utajirisho wa miaka ya 60 wakati viongozi walipoanza kujilimbikiza mali isipokuwa safari hii tuwe na dira na mikakati bora zaidi ya kiuchumi kulingana na dunia ya leo..

Ikiwa Usocialist huu utakuwa ni kutaka ku preserve asili ya ujenzi wa Taifa letu, basi bila shaka hata Uhafidhina wangu unapokea Usocialist huo maadam tuwe na miiko na maadili yetu isiyo kuwa regulations zinazopingana na uzalishaji.
 
Back
Top Bottom