Kikwete afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa: Mulongo ahamishiwa Mwanza; Masawe wa Kagera aondolewa!

Opportunist kama kawaida yake, akimaliza kuwachonganisha anapanda pipa anaenda kusikilizia toka USA. Kazi tunayo


Huu ni msimu wa kujipanga kwa waliopo madarakani uchagudhi ujao. Yule anayepishana na mzee lazima hatupwe nje. Ndio "mzee" ni muhimu kipindi hichi. Mtumikie kafiri upate mtajiiii:confused:
 
nawapa pole kina fabian masawe na wenzake kwa pigo lililowapata ila nawaambiia wasiogope ndizo changamoto za maisha kwa hata mimi na rafikia yangu shija wa maili mbili dodoma (sijui kama yupo hai bado)tunasubiria kupangiwa kazi nyingine toka mwaka 1982 tulipoondolewa SUKITA na SOKOINE tukaambiwa tutapangiwa kazi nyingine mpaka leo tunasubiri.
 
Kwamaana hyo ktk ule mgogoro wa arusha mkuu alikuwa upande wa mulongo? Mana hata mkuu ake wa wilaya ya arusha kapandishwa....
 
fabian massawe ni katapila, sululu la nguvu. ile ni mashine, ila ndo ivo ukichapa kazi wengine wanaomfikia mkuu wanakwenda kukulima.
 
Simbakalia alikuwa na msimomo usio yumba. Si ndiye aliyezuia mpango wa kifisadi wa kubinafsisha lango la bandari ya dar zengwe ambalo halijakanushwa na Mwakyembe au ikulu tangu liliporipotiwa ktk gazeti la jamhuri? Maskini, naona mzalendo huyu kaadhibiwa kwa kuzuia ulaji wa wakubwa.
 
Aiseeeee. Kanal mstaafu Fabian Massawe imekuwaje tena? Au ndio anakwenda ubalozini? To me alikuwa mchapakazi Sanaa.

Wanaotakiwa kwa sasa ni makada, mambo ya uchapakazi yatasubiri rais ajaye. Chama kwanza kazi baadaye...
 
Hakuna lolote la maana zaidi ya kupeana ulaji, hadi Halima Dendego mkuu wa Mkoa...Majanga
 
Massawe vip tena. kwa upande wangu huyu jamaa ni mchapa kazi sana. hivi zile nafasi kumi za wabunge wa rais zimejaa?
 
Sasa kama taarifa haijatimia kimuhemuhe cha kutangaza haraka hivi kinatoka wapi?

Hizi ni mbinu za ccm kujipanga kushinda chaguzi baada ya ukawa kubana kotekote! Mtaisoma namba mwaka huu, magamba wakubwa!
 
Haya anayofanya ndo maisha bora kwa kila mtanzania?

Ndiyo. Hapo anakamilisha ahadi zake kwa wananchi kabla ya kustaafu rasmi 2015. Aliwaahidi wananchi wake kwamba kabla ya kung'atuka madarakani atawahamisha na kuwabadilisha baadhi ya wakuu wa mikoa ili wapate MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.
 
Futakamba, Budeba, Mmbando na Meru sasa makatibu wakuu rasmi nao wameapishwa....Hakuna jipya subirini 2015 ifike tu
 
Back
Top Bottom