Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,529
- 8,614
We unafikiri Tanzania kuna maprofesor wengi, wengine nasikia wakifika nchi za watu huwa wanaomba wasiitwe Maprofesor. Hata huyo Kohi nafikiri alikuwa hivyo hivyo. Wengi ni wanasiasa tu ni applied professors.
We assume mtu ni professor yuko vyuo vikuu hata mwanafunzi wa masters hajaweza kumuelekeza huyo sijui tumuiteje?.
Kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu sana kumpata chief executive ambaye anateuliwa na Rais akawa mtu mzuri.
Mimi ningependekeza suala kama la COSTECH watangaze nafasi ya kazi watu wanaleta CV halafu interview unaita international consutancy kufanyisha interview potelea mbali gharama hila utapata mtu anayeeleweka bila hivi hakuna chochote.
hivi mnajua kwa muundo alioutaka mwalimu ..COSTECH ni sehemu NYETI ya kuleta mapinduzi ya teknelojia,na mara nyingi teknelojia kuna kuibiana..na mambo ya kijasusi...
yaani uite wageni wakuchagulie mwanasayansi...mtu wa kukaa pale pamoja na kuwa mzalendo,inabidi awe vetted ..ndio maana waliona ni rahisi kumuweka mwanasayansi ASKARI..tofautisheni hii na NIMRI ambazo tafiti zake hazilengi kwenye teknelojia zaidi ya afya na utabibu....COSTECH wao wanatakiwa wawe na tafiti hadi za atomic,nuclear,na vitu vingine nyeti nyeti....yaani wanatakiwa wawe na vision,NDIO MAANA VITENGO KAMA HIVI DUNIANI KOTE VINAFADHILIWA NA SERIKALI TU..NA HATA KAMA WANAPEWA MISAADA SI VEMA KUWEKEWA MASHARTI....
TUME YA TEKNELOJIA YA MISRI ILIWEKA VISION MWAKA 1960 YA KUJENGA KINU CHA NYUKLIA BAADA YA MIAKA 50..NA SASA TAYARI WAMETANGAZA KUWA WATAAZA..JE SISI TUNA VISION GANI???....LIBYA WAO SIRI ZAO ZILIVUJA KABLA ,,...NDIO MAANA WAKABANWA....
KWA KIFUPI SUALA LA KUTANGAZA AJIRA YA COSTECH NI GUMU KWA KUWA INATAKIWA KUWA RESTRICTED AREA ...NA WALA INTERVIEW HAIWEZI KUENDESHWA NA WATU WA NJE...LA MUHIMU RAIS ASHAURIWE TU VEMA KUPATA VICHWA ,,NA IKIWEZEKANA NI BORA KUWA NA SUCCESSION PROGRAMME ,,IKIWEZEKANA KUAJIRI WANASAYANSI ,,FRESH FROM COLLEGE NA KUWALEA KATIKA MAZINGIRA YA UTAFITI...SIO WANASAYANSI WANAISHI SINZA .....WAJENGEWE MAZINGIRA TULIVU ..TENA NJE YA MJI ...WAWEKEWE KILA KITU ...