Sijui budget ya COSTECH- but if they were starved of resources- je angetafuta ufadhili? COTECH have so large mandate kisheria ila hawana pesa!
Kama JK amemwondoa- correspondingly- aongeze pesa za utafiti, naona aibu sana hata mgeni akija Tz akakuta jengo la COSTECH limepigwa rangi ya VODACOM- sidhani kama wanapewa pasa za kutosha hadi kuruhusu hali kama hii!
Sehemu zingine za Utafiti kama UD, MUHAS, NIMR(have world class research environment- I went there recently near Ocean Rd-I thought I was in the US!), have so good infrastructure- sasa kwa nini COSTECH wawe staved hadi VODACOM waje wapige rangi? Nenda hapo Kenya au Rwanda- mazingira yao are far better- yet COSTECH ndo anatakiwa atoe dira kwa hao wote- je itawezekana?
What is the main problem? Is this a Kohi factor- or more than that?
subirini wiki ijayo... ! especially ile wiki aidha ya Krismasi au mara baada ya mwaka mpya.. labda atafanya kweli. Ila msishangae watu wakianza kujiuzulu wenyewe kabla ya panga kuwafikia. Next week mtu asipojiuzulu..
Come on bro,hizi speculations mbona zimeishakuwa the daily part of JF's life, Kikwete is as soft as a sponge, period!!
...Oh please dear God no!
1. Huyu Kohi ni mzima sana kichwani-(daktari wa binadamu, Kanali(Lef. General?) wa jeshi, Profesa, na majuzi tu alipata degree ya sheria) he is a very intelligent person- sijui kwa nini leadership ilimshinda- may be he was starved of resources!
Nakulilia
Nani amesema mama/dada zetu hawawezi kupenyeza kwenye mfumo dume? 4 of the top 5 directors wa COSTECH walikuwa wanaume. HKwa hiyo uteuzi wa mama Kingamkono ni moja ya ushahidi tosha kwamba wapo wakina mama wakali zaidi kwenye system yetu.
Mugo"The Great";108074 said:Danganya toto hiyo, aanze na mawaziri wanao/waliohujumu Uchumi kwa kuwafukuza na kuwafungulia mashtaka, kinyume na hapo anaendelea kutupaka Watz mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kutoa kafara "Dagaa" badala ya "Samaki"
Hii ni problem ingine ya wasomi wetu wanaopata vyeo. Sasa huyu kama ni profesa kwa nini ahangaike kurudi jeshini, si atafute chuo kikuu akafundishe?
Mzalendohalisi:
Hebu tufafanulie hiyo 'MUHAS' ni kitu gani.
Where did you go and got so much impressed to think that you were in the US, MUHAS or NIMR? What do you mean by infrastructure - equipment or what?
I would venture to state that National Institute of Medical Research is heavily funded from external sources, while COTECH is purely dependent on government subventions. And as we all know the vigogo's who decide have little regard for scientific research. That is a fact of our Tanzanian situation.
Kalamu,
1. The Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a successor to the Muhimbili University College of Health Sciences (MUCHS).
2. Nilipofika Ocean Rd- mimi nilikuwa na picha za mazingira ya Hospitali ya zamani ya kansa- mbele karibu na WHO ndo nikaingia ndani NIMR (baada ya kupekuliwa sana!)- ndugu yangu hapo kuna infrustructure ya nguvu ya kutisha- utadhani uko Houston! Mambo ya Equipment sijachunguza- sifanhamu! Kwa kweli ukilinganisha na jengo la COSTECH- ni vitu tofauti sana!
3. My point is why has COSTECH been starved of resources? Kwani COSTECH nao hawaruhusiwi au hawana dira kuandika miradi- for infrustructure development kama NIMR au MUHAS? Should the government be the sole provider of funding to COSTECH? Mbona hata NIMR ni mali pia ya serikali?
Prof. Kohi anatakiwa sana jeshini kwani jeshini ndo panatakiwa kuwa no. one kwa technolojia, kama uwezaji upo wa uhakika. Hata Chief Justice Augustine Ramadhani is a JWTZ Brigadier General.
ngereja
FieldMarshal, NIMR inaongozwa na Dr. Kitua check www.nimr.or.tz ni kichwa kikali sana hiki.Dr. Malecera ni mratibu wa mradi wa matende kitaifa.
Mkuu Ngereja,
Heshima mbele mkuu, nimekusikia mkuu, halafu ninaomba kukuliza rais wa dunia wa utafiti wa matende ni yupi kati ya Kitua na Mwele?
Dr. Mwele Ntuli Malecela PhD
Director of Research Coordination and Promotion,
National Institute for Medical Research,
Ocean Road,
P.O. Box Dar-es-salaam
Tel:
FMES,
1. Je huyu Malecela anahusiana na Mheshimiwa aliyestaafu? Hii isiwe tena kama Ukabila Ikulu, TRA, na BoT n.k na sasa utafiti.
Ni mtoto wa John Jumanne Samwel Malecela, ila huyu alipata hii kazi NIMR kwa merits, anapigiwa chepeto sana huenda akawa DG wa NIMR anapostaafu mwakani Dr Andrew Kitua.