Kikwete aelekea US, Pinda atangaza ongezeko la bei kwa watumiaji umeme!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika sherehe za kuazimisha maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea.
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa hasara.mia
 
ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea.
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa hasara.mia

huyu pinda kasema anaenda kuongea na BARRICK kumbe ndio kupandisha na bei za umeme

hao TANESCO wanajiendesha kwa hasara kwa umeme upi? au ndio tunalipia mafuta ya hayo majenereta
 
Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.
 
Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.
Acha uwongo. Dr Slaa has been to the US several times. Alikuwepo VOA September 2007 nilimwona kwa macho yangu.
 
Acha uwongo. Dr Slaa has been to the US several times. Alikuwepo VOA September 2007 nilimwona kwa macho yangu.

Kwa ofa ya mwanakijiji (international public relations officer wa chademu)..a.k.a mwana jumuiya.waraka
 
Kwa ofa ya mwanakijiji (international public relations officer wa chademu)..a.k.a mwana jumuiya.waraka
Hapana, kwa ofa yako wewe mzalendo unayependa kuona Tanzania inaondolewa kutoka makucha ya mafisadi.
 
Kwa nini tunaendelea kukubali kukamuliwa hivi na haya madudumtu?
Tired now. Enough is enough.
Aghhhh!
 
Huu sasa ndo uandishi wa Tanzania; Title "atangaza ongezeko la bei ya umeme" body "inakusudia" kazi kweikwei!
 
Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.
Bado masaa mawili umalize kazi, umuachie Nape ahitimishe michango yenu humu JF.
 
Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.
<br />
<br />

Hata kwenye orodha ya warisya haumo, si ajabu ni zao la wale ........ (kama lile fumanizi la Igunga)
 
****** tunamtakia safari njema ile ajiepushe na rushwa za suti,Pinda naye! Kuongeza bei ya umeme upi? Jamanii walalahi tunakamliwa sana,MUNGU ibariki Tz ?
 
The mkwele anaifilisi tanzania ,mpaka atakapomaliza muda wake atakuwa amemaliza fedha zote .Hii si sahihi mbona hatusikii Mwai kibaki ,Yoweli Museveni,jacob Zuma wakisafiri mara kwa mara ?Ina maana Afrika ina rais mmoja tu kila kitu mkwele tuuuuuu,it is too much tuamke watanzania tunaibiwa,maisha yapo juu haya yote yamesababishwa na mkwele.Tayari siri zake za suti na nyingine nyingi tutaelezwa,wanaofikiria kwa masaburi utawaona wanatetea wakati bibi zao,babu zao na wengineo wakiishi maisha ya shida vijijijni.Mungu tusaidie watanzania tuokokane na janga hili.Salam
 
Kwani ni sifa nayo kushinda kwenye kaya za watu? Mweny akili timamu asiye na tabia za kikwe..re hawezi kujisifu bali atajisikia aibu. Ule wimbo wa yule mkenya BWANA NIPE PESA, WATOTO WANA NJAA, SAB0‡0BU MKE WAKO, NIMECHOKA KUTANGATANGA
HATA MAJIRANI, WANAPONIONA, WAAAANASEMA FUNGENI MILANGO ANAKUJA.
Hili songi achezewe kikwete kila anapozurura nje.
 
Aende zake hana manufaa yoyote kwa nchi zaidi ya kutia hasara na kuzidisha ukata wa maisha
 
Dua la kuku, Tunamtakia safari mh.Rais na mafaniko mema kwa nchi yetu..tuwakilishe
<br />
<br />
ukumbuke US ni adui wa uislam duniani au umesahau?hivyo matumaini ya kuingiza suala la kadhi ktk katiba tusahau
 
Tazama vizuri suti atakayoivaa wakati anahutubia UNGA akilalamikia nchi tajiri kutukandamiza 'sisi maskini'. Suti hiyo ina thamani kuliko ile atakayovaa Barack Obama!
Kana kwamba hatuna akili hivi!
 
Back
Top Bottom