Kikwete aelekea Msoga Bagamoyo kujiweka sawa!

hayo yote hayaangaliwi, anaangalia ustaarabu wake tu na kuendelea kubaki madarakani! Lakini nawe bourne wakikugundua unatoa siri zao watakupa kipigo cha mbwa mwizi!

Yani anatake big risk kwa kwel anaweza kufa kabisa ila be carefull zaid
 
Ila jaman tuseme yote Rais kwenda kwa mganga co ajab ivi ni kiongoz gan anaweza akakalia kiti kile akawa wa mkono mweupe c utapigwa juju ufe yan tungekuwa tunauchaguzi kila mwaka wa marais. Tatizo co mganga tatizo ni kikwete mwenyewe hata Obama anamganga wake. Mganga haongoz nnchi wala ampangii kikwete sera.
 
Ingekuwa mwezi wa kula mchana tungekukubalia japo kwa shingo upande, kwa mwezi huu? alishwe madawa mchana kweupee na wewe uko hapo hapo ukishuhudia yote? uongo wa kitoto huu! Huna haya wala hujui vibaya?

Nimevumilia kutokukujibu ila nimeshindwa. Nashkuru kama unakiri kuwa inawezekana Rais wetu kufanya mambo ya giza, ila kinachokutatiza ni kwamba huu ni mwezi wa kushinda njaa mchana. Kunaconnection gani kati ya kutokula mchana na kufanya mambo ya giza.

Wewe unadhani kuwa waislam wote nchini/duniani wanafungaga (kushinda njaa mchana) kama wewe wkt wa mfungo wa Ramadhani?? jua kuna kundi kubwa tu, including wagonjwa na hata pengine Rais wetu huwa hawafungagi.

Hivyo kutofunga kwa JK sishangai na hakumuondolei sifa yake ya uislam. Bado ni muislam ila atakuwa amevunja tu amri/masharti ya uislam. Je wewe watimiza masharti/nguzo zote za uislam maisha yako yote, achilia mbali kipindi cha mfungo???au baada ya mfungo uislam unaruhusu mtende dhambi????
 
Mbona Mama Mkapa hakuwa na msafara jamani? nilishakutana nae mara kibao na yuko na gari moja tu na hana wasiwasi. au ndo mapato yameongezeka selikarini?
 
hizi habari uzushi mtupu.... mkuu wa kaya yupo kwenye mfungo alikunywaje hivo vitu
 
Ukifunga unaruhusiwa kunywa dawa sasa atuwezi jua labda alikunywa damu ya dawa? Na duh naonaga kwenye muvi za zombiez ndo damu zinanyweka kumbe mpaka bongo mazombe wapo au jason uliangalia vibaya alikuwa anakunywa maji ya zabibu?
 
Mkuu wa kaya akiwa na mpenzi mkewe na Said Mwema wanaelekea nyumbani kwao Bagamoyo kwa mapumziko!
Pamoja na mambo mengine atakwenda kwa KIGAGULA wake aliyemsaidia kufika magogoni ambae yupo umbali wa kama km 1 hivi kutoka msoga!

Mganga huyo kwa taarifa nilizozinasa toka ktk chanzo changu muhimu ndani ya familia hii zinasema kuwa huyo kigagula amemuita mkuu wa kaya!!

NB: Nilishindwa kuwapa updates ya kikao cha juzi usiku kutokana na hali ya usalama kuwa ya juu kiasi kwamba hatukuaminiana wenyewe kwa wenyewe!
Lakini mungu alisimama upande wangu, habari yote ninayo na nitaiweka hapa japo inatisha!!

UPDATES!

Msafara umefika salama salimini,yanayoendelea sasa hivi ni kifamilia zaidi lakini nimejipenyeza mpaka mstari wa mbele!
Kaka yake mkuu wa kaya sasa hivi ndiye msemaji japo kwa sasa hakuna zito zaidi linalojadili ila nitakomaa mpaka mida ya kwenda kwa kigagula wake huyo! Leo lazima nishuhudie yote yanayotendeka! Nyie vuteni subira!!
Nimeambiwa kuwa huyo kigagula ni bibi!!

More Updates!!

Naomba samahani kwa kuchelewa kuwapa yanayojiri hii ilitokana na mazingira niliyokuwa nimekaa!

Bibi keshafanya mambo,nilichokiona kwa macho yangu ni kuwa bibi amemunywesha kitu kama damu hivi na kumwogesha maji meusi kisha akambadilishia pete ya mkononi na kumpa nyingine!
Moja ya masharti niliyosikia ni kuwa wakati wa kutoka pale msigeuke nyuma!
Lakini mimi niligeuka tu nyuma!! Na akasema tusirudi kwa njia ile tuliyoendea ndipo tukapita kimara kule kwa marehem kawawa!
Kwa sasa msafara usharudi magogoni na ****** anaonekana kujiamini kidogo!

Kaeni mkao wa kula kuna ishu hatari ya Riz1 najiridhisha kisha niwamwagie hapa!!!!

Mkuu huwezi kututupia na picha kidogo za hayo mambo?tuone huwa inakuaje!
 
Hapo kwenye red: nilifikiri kwa kusisitiza jinsia ya mganga ni kwamba amepewa na apple!!
 
Hivi mfungo huwa hauruhusu kunywa "dawa"? Acheni uwongo bwana! Kwa hiyo waislamu wagonjwa hawanyi dawa zozote zenye mwelekeo wa chakula au kinywaji kwa vile wamefunga? Kama wagonjwa wanaweza kunywa dawa ili kuokoa maisha yao kwa nini rais asinywe hicho kitu cheusi kama damu kama sehemu ya tiba?
 
unazijua sifa za kufunga wewe ? au unaongea tu wengine wakuone na wewe unaongea?
 
Mwanamke anapokuwa kwenye siku zake hatakiwi kufunga,,,,,,
Nimevumilia kutokukujibu ila nimeshindwa. Nashkuru kama unakiri kuwa inawezekana Rais wetu kufanya mambo ya giza, ila kinachokutatiza ni kwamba huu ni mwezi wa kushinda njaa mchana. Kunaconnection gani kati ya kutokula mchana na kufanya mambo ya giza. <br />
<br />
Wewe unadhani kuwa waislam wote nchini/duniani wanafungaga (kushinda njaa mchana) kama wewe wkt wa mfungo wa Ramadhani?? jua kuna kundi kubwa tu, including wagonjwa na hata pengine Rais wetu huwa hawafungagi.

Hivyo kutofunga kwa JK sishangai na hakumuondolei sifa yake ya uislam. Bado ni muislam ila atakuwa amevunja tu amri/masharti ya uislam. Je wewe watimiza masharti/nguzo zote za uislam maisha yako yote, achilia mbali kipindi cha mfungo? Au baada ya mfungo uislam unaruhusu mtende dhambi????
 
Back
Top Bottom