KIKWETE ACHA SIASA SWALA LA ALBINO; kuwa serious | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIKWETE ACHA SIASA SWALA LA ALBINO; kuwa serious

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 2, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,311
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Kwako mh RAIS
  Nahisi naingilia uhuru wa mamlaka yako lakini kwa hili naomba niwe muwazi wa moyo...mh Rais hili swala la maalbino limekuwa sauti na kelele kwa kila mtanzania.aiwezekani ndugu zetu watanzania wenzetu wakawa wanauwa kama wanyama,,
  Mh RAIS:
  Kama ni usalama vyombo vyako vyote vya usalam,a vimeshiriki kwenye usanii wa kukuonyesha kwamba wako serious na hil swala lakini si kweli ..albino wanazidi kufa...albino wanazidi kuwa vilema wa maisha...kwa nini mh rais unalijua hili umelikalia ??y??????????presideaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  Hiiv majuzi umetangaza swala la kupigwa kura wauaji wa albino
  Kwanza huu ni usanii na nina uhakika hata kule jeshini ulikokuwa walipokusikia walihamaki sana!!!!hakuna haja ya kutafuta wauaji wakati wauwaji wanajulikana......mh Rais tumeshindwa kukuamini tena kumbuka swala la

  MADAWA YA KULEVYA
  Ulisema umepata majina na unayafanyia kazi..soon mpaka leo hii mh rais majina umeyakalia na hakuna hata siku moja uliyotangaza basi jamani yale majina bahati mbaya yaliliwa na panya...je uu ni uungwana,,na kwa hili nani ataamini unaweza kuwa serious na swala la albino..ni shame bunge la nje kuongelea mauaji ya tanzania wakati bunge lako tukufu lilikuwa kimya

  Mh Rais;tunashusha kilio chetu wawaji wapo na unawajua..na wengine wako madarakani kwenye uongozi wako na wengine wanajitahidi kuua uwachague 2010 pengine 2010 unaweza ukawa umejaza viongozi wote walioingia kwa kuua maalbino ........hakika kuna umuhimu wa kulifanyia kazi!!vinginevyo damu ya hawa watu itakufuata popote utakapokwenda ama ulaya ama asia kama si peponi...!!!!!!!!

  WITO

  SALA
  Mh RAIS watanzania wamekosa hofu ya mwenyezi mungu;yah ata kama hapo nyuma mlikuwa mnatudanganya kwamba albino awafi kumbe wanauwawa na kuwaona watu wakishain na magari ya uwaziri eg NW VB;W MIU...LOH!!!WANAITAJI HEKIMA NA MAARIFA YA MWENYEZI MUNGU;mwombe mungu ashushe hofu juu ya watanzania wamwogope mungu;ukiwa na uwoga na mungu uwezi kuwaua binadamu mwenzako kinyama vile;kama viongozi wa serikali yaani maaskari wanapojiussha na mauaji haya

  Swala la kwanza ambalo ni la muhimu ,wauaji halisi wa hawa watu ni wafanyabiashara na VIONGOZI wa SIASA....haya makundi kama ukiweza kukaa nao na kuwapa ukweli halisi BIBLIA INASEMA ""MCHAWI NA AUWAWE""kwa hiyo jamani yoyote atakaehusika hiyo iwe sala yao mauti

  LA PILI
  Kaa na wazazi waliobahatika kuwa na watoto maalabino;imezuka sasa kama dizaini ya wazazi kuwauza watoto wao kwa ajili ya njaa ama shida;angalia utawezaje kuwasaidia wakubwa kwa watoto (albino's).wengi wa wazazi wanafikia hali hiyo kwa ajili ya kukosa msaada wa kuwahudumia ,natumain idadi ya maalbino tunaweza kuwatunza na kuwahudumia kama tyukiwa na nia
   
 2. s

  saidmbuluma New Member

  #2
  Mar 3, 2009
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuzingatia kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa misingi ya Katiba na sheria nyingine za nchi hatuna budi kutii sheria zote za kiutendaji.Ni hisia za kila binadamu nyenye huruma kuongea kila anachohisi dhidi ya unyama wanaofanyiwa jamaa zetu maalbino.Umesema BIBLIA INASEMA "MCHAWI AUWAWE",pia kumbuka Mh.waziri mkuu nae kwa hisia zake alisema watu hao nao wauwawe,nafikiri ulisikia Bungeni waheshimiwa walimuomba ajiuzulu.Jambo la msingi watenda unyama huu wahukumiwa kwa mujibu wa sheria za nchi.Kuna mapungufu ya kiutendaji ktk vyombo vyeti ya mahakama na upelelezi hapa ndipo penye ucheleweshaji wa watuhumiwa wa mauaji ya albino.Pia si suala la kumlaumu Mh Rais,mimi na wewe pia tunahusika katika kuelimishwa jamii kuepuka mauaji hayo.Mh.Rais wetu anajitahidi kiutendaji ila baadhi ya watendaji wake ndio wanashindwa kutimiza majukumu waliopewa.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mzee unakuwa too apologetic kiasi unashindwa kuuona ukweli.

  Mh. Rais ni kwamba kazi imemshinda kitambo tu, tena kwa mengi, hili la maalbino ni tone tu ktk bahari. Mh Rais ni guarantor wa kwanza wa amani na usalama wa Taifa hili, wakiwemo raia zake,humo wakiwemo Maalbino, ,na ndio maana anaitwa amiri jeshi mkuu. Kusema kwamba anaangushwa na watendaji wa chini yake, hii ni apologia ya kitoto mno. Chukua mfano mdogo, mbona anapotumia pesa ya walipa kodi kumlipa Maximo, sifa inamwendea yeye, ILA ANAPOSHINDWA KUKABILIANA NA MAUAJI YA MAALBINO KOSA NI LA WASAIDIZI, si ndio?

  Lazima tukubaliane kuwa serikali ina majukumu yake kama serikali, na raia wana wajibu wao kama raia. Ni kukimbia wajibu wake, iwapo serikali inaposhindwa kutatua kero za wananchi zilizondani ya wajibu wake kwa kigezo wananchi hawatoi ushirikiano.
   
 4. Mujuni2

  Mujuni2 Senior Member

  #4
  Mar 3, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ideology ya kuwa baya likifanyika ni kosa la watendaji chini ya JK lakini likwa zuri ni kazi nzuri ya JK imetoka wapi?Style ya uongozi ya huyu mheshimiwa ni ya ajabu sana, mfano;Mpaka sasa watu wa Nishati wanashindwa kufanya maamuzi kuhusu mitambo ya Dowans mpaka wajue mwelekeo wa RAIS ni upi?kwa style hii hatufiki popote tunazidi rudi nyuma,maswala ya kiutendaji yamegeuzwa ya kisiasa, ni mara mia hata enzi za BWM alikuwa anajua anachokifanya
   
Loading...