`Kikwete acha kigugumizi` - LIPUMBA amchana Jakaya

Ujue lipumba ni sawa na homa ya vipindi mtu ameanza kugombea uongozi tangu mwaka 1995 lakini idadi ya kura zake hazijawahi kufika hata laki moja kwa mda wote huo,

kama lipumba angekuwa mboga angekuwa mlenda kabisa anatema mate bure tu.

Sawa ila we unaongelea yaliyopita yeye yuko current kwa yaliyo mbele. Nani jinga apo mkuu?
 
Lipumba ni kama mkojo wa punda haitibu walau mafua ya vumbi seuzekifua, akome kutoa maelekezo na kashfa kwa mtetezi nakipenzi cha wengi. Lipumba kaanza kugombea Urais August 1995 wakati huo jk akiwa wazieri wa fedha leo jk anaelekeakustaafu kazi yaheshima bado yeye kashindwa walau kupata diwani kijijini kwake.Lipumba hukubaliki rudi kale vumbi la chaki

labda ni shemejio ndomana
 
LipumbaUchumi%281%29.jpg

anza na Hamad Rashid Mbunge wa Mahakama lkn bado ni wa CUF
 
Hajapona tu Tezi dume, akipona atawaondoa akina prof Muongo na prof kiburudisho cha Rugemalira

QUOTE=Kimilidzo;11340594]Labda dhamira inamsuta JK kwa kuwa mkwe wake Albert Marwa mume WA Salama Kikwete ndiye alichukua zile bilioni 73 pale Stanbic. Hivyo basi anaogopa watu kumwaga mboga akimwaga ugali[/QUOTE]
 
Lipumba ni kama mkojo wa punda haitibu walau mafua ya vumbi seuzekifua, akome kutoa maelekezo na kashfa kwa mtetezi nakipenzi cha wengi. Lipumba kaanza kugombea Urais August 1995 wakati huo jk akiwa wazieri wa fedha leo jk anaelekeakustaafu kazi yaheshima bado yeye kashindwa walau kupata diwani kijijini kwake.Lipumba hukubaliki rudi kale vumbi la chaki
Kisimi kitakuwa kinakuwasha wewe
 
inashangza sana hasa ukizingatia wanawake ndio wanaongoza kwa mateso makubwa hasa huko vijijini na mijini kwa kujifungua bila vifaa

Dio wale wanaokuta baba zao wamesha fanya ufisadi, na wanakula mali za wizi zilizotafutwa kwa hila na wazazi wao. Wala hawajui kijijini na maisha ya wanawake wenzao yakoje.
 
Back
Top Bottom