Kikwete Abinafsisha Serengeti N.Park kwa Wamarekani.

Hasara

Senior Member
Dec 29, 2006
138
9
kikwete Abinafsisha Serengeti National Park kwa Wamarekani hii dili limefanyika katika ziara yake ya September 2007, Atoa ''lease'' Hati miliki ya miaka 99. huu mkataba atausaini yeye mwenyewe, jamani watanzania tutafika???

kwa sababu rais ndiye anayetoa Hati Miliki zote nchini, hii ni mbaya kwa mtu mmoja kuwa na nguvu kubwa namna hii.

Sasa ni vita anakaribisha Tanzania siwezi kuvumilia kwa hili ndiyo sababu wamegawana hoteli yeye na Lowassa, kamnakumbuka niliuza kuhusu safari za JK Serengeti zimekuwa ngingi kwa nini?

yeye anajenga hoteli Serengeti, Lowassa kachukuwa Hotel 77 kwa nguvu kamnyanganya Mrema wa Impala.

Kikwete alimwambia Bw.MREMA kwamba ana Hotel nyingi style moja tuna taka taste tofauti hapa Arusha,

baada ya mimi kumuuliza BW.Mrema kama ni kweli kabla sijamaliza kuongea alirudia maneno JK aliyosema kwamba ana Hotel nyingi style moja tuna taka taste tofauti hapa Arusha,
''JE MNAKUMBUKA LOLIONDO GATE''?? na waarabu

Sikuamini masikio yangu,

akasema amemuachia mungu.

je tutafika ....?????
 
kama ni kweli basi el presidente kakosea big time bana ! mie hili suala nalipinga kuanzia miguuni hadi kichwani ! sitaki kusikia !
 
we Kada we, unampinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Visiwa vyake, aliyechaguliwa na Mungu na kupakwa mafuta, ambaye ni Amiri jeshi wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama (Polisi, JKT, Mgambo, Magereza, JWTZ, Sungusungu na Chipukizi)? Unathubutu vipi?
 
Hasara tuletee mazingira mazima ya hili Dili.

Marekani ni nchi na in watu wengi.

kuwapa Wamarekani Serengeti ni sentensi Tata.

Nani mwenyewe hasa kapewa?
 
am i dreaming or what ? nilidhani hii habari haikuletwa na hasara ! nilidhani mtu mwingine ndio aliileta hapa !
 
mbona tuliuzwa zamani,na juzi tu ndio wamemaliza kuuza bunge letu tukufu.wamebakisha butiama kwa sababu ya lilekaburi tu la mwalimu.lakini nasikia siku si nyingi nalo litawekwa kwenye ebay ili watu wajichukulie.
Poleni watanganyika
 
kama ni mie, nisingethubutu kusema hayo maneno !
 
madela wa madilu,
mbona mnaogopa kivuli chenu wenyewe,hebu kaeni chemba mje na jibu mwafaka na sio hadithi,naona mkjj yeye kisharuka kimanga eti yeye yupo kijijni na sio mjini kwa hiyo hana aja ya ngedere wala tumbili.kazi kwenu wa mjini ambao hata panzi hamjamuona
 
kada,
unashangaa nini muulize babu yako kama amebakishiwa kiunga cha kulima mihogo usikie maneno yake.ubinafusishaji kwanza mengine baadeni
 
madela wa madilu,
mbona mnaogopa kivuli chenu wenyewe,hebu kaeni chemba mje na jibu mwafaka na sio hadithi,naona mkjj yeye kisharuka kimanga eti yeye yupo kijijni na sio mjini kwa hiyo hana aja ya ngedere wala tumbili.kazi kwenu wa mjini ambao hata panzi hamjamuona

Nielimishe ni vipi naogopa kivuli changu mwenyewe kwa kutaka kujua Mtu au Kampuni iliyorithishwa serengeti.

Huku UESIEI tumekuja vijeba kabisa.
halafu unachekesha kweli eti hata panzi hatujumjui.

Ukiwa hapa unyamwezi hasa State za Lousiana na Mississipi ukienda kona unaweza dhani uko Mitaa ya Mkamba Kidatu.
Miwa,mapapai, migomba, pilipili mbuzi,ngobwe(nyanyachungu) kibao

Nijibu maswali yangu.
 
kweli kikwete amekuwa na saafri nyingi sana kwenda serengeni, na inaaminika kuwa ameingia ubia na hoteli moja ya kimarekani kuja kujenga ndani ya serengeti baada ya kukataliwa kujenga kwenye ngorongoro
 
Ninachoelewa na kila mtu makini anajua kuwa Mrema walimzunguka wakampokonya deal ya kuchukua 77.Hawakuangalia wala kujali kwamba huyu bwana ni gwiji kwenye mahotel na kama mnavyojua hotels zake ni international standard na zinapendezesha ule mji..sasa muungwana anataka style ipi tena? wangempa basi hiyo architecture wanayofikiria ni bora zaidi na si kumyang'anya.
 
Niliona habari hii kwenye ile email ya "Asian Community living in Canada" paragraph ya mwisho. Kama ni kweli basi kazi ipo...
 
Let them do wot they want Lakini History one day will Crucify them. Siku wana wa nchi wakiamka, wakafumbua macho then watawafanya kama Chausesku wa romania!
 
Back
Top Bottom