Kikwete Abinafsisha Serengeti N.Park kwa Wamarekani.

Power to the People

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
1,199
2,000
This thing is so true, Hivi sasa ofisi za serengeti National park zinahamishwa kwa sababu kuna mwekezaji aliyempa JK tuzo huko USA anahitaji kutumia hilo eneo na hataki kuonaona viwatu vikijipitisha pitisha karibu na wageni wake wanaolipa madola mengi.

ukizungumza na watu wa maeneo hayo wanakuambia live hata JK mwenyewe ana hoteli anaporomosha huko Serengeti na akiwa huko hata gari lake lenye bendera hapandi anajimwaga kwenye gari la mwekezaji wanavijiji wanabaki kupungia magari matupu mpaka waje kugundua hayupo msafara umeshapita ni aibu.

And the selling of Serengeti sio kitu ambacho hakipo hata kama sio leo jambo hili limeshazungumziwa. kisingizio ni kwamba ati wanataka waone tofauti iliyopo kama mwekezaji atapewa kuendesha eneo hilo na uendeshaji wa serikali.

Suala la kujiuliza hapa kwa mtu yeyote anayetumia akili ni kwa nini wasitumia maeneo mengine ambayo hayajaweza kujiendesha waje wafanye experiment na sehemu ambayo haina shida ya aina yoyote ile, Kuna maeneo ambayo ni so remote hata kufika watalii ni nadra, kama majaribio wanataka kufanya ambayo pia hayahitajiki kwa nini wasiende kwenye haya maeneo. Wanataka kuharibu hata kile ambacho kinaonekana ni kizuri.

God Bless this country
 

T-King

Senior Member
Feb 5, 2012
172
250
Kwa ss sina wasiwasi,vyote vitarudi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania tunasahau haraka sana na watawala wanalijua hilo. Juzi Kikwete Lowasa na Kinana walionekana kwenye msiba wa Mrema, tukashidwa kudadisi na kuchanganua mambo, tukaendeleza siasa kama kawaida yetu. Hivi unadhani pale msibani walikutana kwa bahati mbaya? Na hujiulizi kwa nini Edward ana Kiburi cha kutoguswa! The guy is very smart. Katika upigaji wake wote mkubwa, hakuwahi kupiga bila kuwashirikisha malaika wenye kinga ya kutoshitakiwa popote. Anajua huwezi kumshtaki bila kuwagusa hao malaika tunaotaka "waachwe wapumzike". Kuna mengi na mazito tusioyajua kwa hao tunaokesha tukiwashabikia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom