Hasara
Senior Member
- Dec 29, 2006
- 141
- 8
kikwete Abinafsisha Serengeti National Park kwa Wamarekani hii dili limefanyika katika ziara yake ya September 2007, Atoa ''lease'' Hati miliki ya miaka 99. huu mkataba atausaini yeye mwenyewe, jamani watanzania tutafika???
kwa sababu rais ndiye anayetoa Hati Miliki zote nchini, hii ni mbaya kwa mtu mmoja kuwa na nguvu kubwa namna hii.
Sasa ni vita anakaribisha Tanzania siwezi kuvumilia kwa hili ndiyo sababu wamegawana hoteli yeye na Lowassa, kamnakumbuka niliuza kuhusu safari za JK Serengeti zimekuwa ngingi kwa nini?
yeye anajenga hoteli Serengeti, Lowassa kachukuwa Hotel 77 kwa nguvu kamnyanganya Mrema wa Impala.
Kikwete alimwambia Bw.MREMA kwamba ana Hotel nyingi style moja tuna taka taste tofauti hapa Arusha,
baada ya mimi kumuuliza BW.Mrema kama ni kweli kabla sijamaliza kuongea alirudia maneno JK aliyosema kwamba ana Hotel nyingi style moja tuna taka taste tofauti hapa Arusha,
''JE MNAKUMBUKA LOLIONDO GATE''?? na waarabu
Sikuamini masikio yangu,
akasema amemuachia mungu.
je tutafika ....?????