Kikwete Aanza Hujuma Kumzuia Dr. Slaa Asimalizie Kampeni Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Aanza Hujuma Kumzuia Dr. Slaa Asimalizie Kampeni Mbeya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QUALITY, Oct 29, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kikwete aanza hujuma kumzuia Dr. Slaa asimalizie kampeni Mbeya

  Kuna tetesi zimeanza kuvuja toka ndani ya CCM (hapa Dar) na Mkoani Mbeya kuwa wakati Dr. Slaa ameamua kufungia kampeni Mkoani Mbeya, JK ameamuru viongozi wa mkoa na wilaya zote kuzuia mkutano huo. Habari zaidi zinasema kuwa katika mpango huo, anaelekeza kuwa yeye mwenyewe JK, atafungia kampeni zake Mbeya wakati wengi tunajua kuwa atafungia Jangwani.

  Habari hizi bado hazijathibitishwa. Nitaenmdelea kufuatilia na kukufahamisheni. Na kwa wale walioko Mbeya, Tafadhari leteni habari zaidi mkizipata. Hata hivyo, naamini People’s power itashinda.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,209
  Likes Received: 414,657
  Trophy Points: 280
  Hata kama JK atataka kufungia kampeni zake Mbeya hakuna kitu kinawazuia wote kuwa huko mbona viwanja ni vingi?
   
 3. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Wote wafungie huko?? Je ikitokea mwingine akavuta wengi kuliko mwenzake si italeta rabsha!!!
   
Loading...