Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

Status
Not open for further replies.
Pole Jk, sijui unatatizo gani jamani, mbona kila mara jangwani kwenye uzinduzi waanguka.


kikwete ameshaanguka mara 4[nne] hadharani...yaani mara mbili jangwani na mara mbili kirumba mwanza [ikiwemo aliyoanguka kwenye shughuli ya kanisa la AIC-hakuwa amefunga ].....na pia amewahi kuzirai mara kadhaa akiwa ndani,.....according to insiders......

there is a problem ...!

pia nime note kwenye hutuba yake kuwa anasoma sana mitandao....ametoa moja " siku hizi tanzania kuna mitandao ...kwenye mitandao wanaandika sana sana ...lakini nawaambia kuwa ..watanzania hawadanganyiki..."
 
hakuanguka jumla mabodyguard wake walimuwahi kabla hajafika chini. Mbona hata Dr Slaa alianguka bafuni huko mwanza hadi kuvunjika mkono. wote wameanguka tofauti mmoja kaanguka bafuni mwingine jukwaani. hii ni bahati mbaya inaweza ikamtokea mtu yoyoye wakati wowote.

Lakini pale jukwaani hakuna utelezi! Isitoshe huyu JK ni mara ya tatu au ya pili hivi anadondoka jukwaani. Usilete za luleta hapa!!!
 
watu gani waliochoka,ni mtu mmoja asiye na akili timamu kachafua hali ya hewa.
 
Waungwana inayosemana JK kaaanguguka Jukwaani leo wakati wa kuanza kampeni je mambo yakoje,kwa mlio hudhuria!!!!????
 
rais ana afya mbovu na hafai kuongoza taifa hili..hatutaki sababu za kitoto za kila siku hapa mara kafunga eti swaumu kali...mbona watu huku vikindu wanafunga na hawaanguki
 
Hivi katika fomu nza NEC hakuna mahala unaulizwa iwapo una afya nzuri -- na hilo kuhakikiwa na daktari?
 
Amedhooofu ... kama CCM yake vile. Hakuna cha swaumu wala nini
 
Tabia ya kutojua wapi kuwe na siasa wapi kuwe na ushauri wa kitaalamu kutamponza Jk. Jk anasahau kuwa mgomeba wa uraisi ni kubeba mizigo ya chama.

Waliombebesha wengi wanataka aendelee kuibeba kwa faida yake na zaidi wao. Kama afya hairuhusu kwa nini asiwe mkweli akajipanga kulingana na uwezo wake kwa sasa?

Nasubiri hotuba ya daktari wa raisi itakayotolewa. Tukicheza mpaka uchaguzi ufike tutapokea hotuba kibao za daktari wa rais
 
Ni vyema wakatuambia anaumwa nini -- kabla hajaendelea na kampeni. Wengi hawatahudhuria kampeni zake kuhofia usumbufu na kupoteza muda -- yaani baada ya dak chache tu jamaa chini!!! Wengine husafiri kutoka mbali sana!
 
Pole JK. Mungu akutie nguvu ili uendelee na campaign. Tunataka tuone mpambano wenu na Dr Slaa hata mwisho. Na mwisho utanoga zaidi hapo Slaa atakapokubwaga kwa asilimia nyingi zaidi yako.
 
Huyu jamaa kweli anatufaaa?? Sijui...apunguze kuchanganya mambo,,,,Pole ndugu yangu
 
Hivi ma bodygurd na wasaidizi wake wanakuwepo karibu kweli au ndo hivyo hawajui majukumu yao. Pamoja na matatizo aliyonayo, hawa wasaidizi wake wanapaswa wawajibishwe kwa kumwacha aanguke bila kumzuia.
 
Be blessed JK, you will regain your strength in the NAME of JESUS CHRIST.
 
...mmm, My dear Roza. Jamaa anatuudhi lakini hii kidogo naona kama imepinda hivi ama we waonaje?

yamkini ndani ya jamiiforums kuna washirikina wasio na utu kama Roza kusema Rest in peace (RIP) kwa Rais kabla hajafa hiyo ni dhambi huna dini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom