Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

Status
Not open for further replies.
huyu kikwete atakuwa nusu mtu, na nusu. ama sivyo anawazuga watu, kwa kuwapima wajinga wake ni kwa kiasi gani wanampenda
 
atakuwa anaelekea milingotini kwa wale mapacha wawili waliorithi kazi ya marehemu baba yao (manake nguvu za giza zitakuwa zimeshamalizwa pale jangwani!!)

Washirikina utawajua tu haya milingotini na kuanguka wapi wapi? Huyu jamaa kazidiwa na kazi tu.
 
Nawashangaa sana CCM! Kwa nini wasitwambie ukweli ? Asiumwe yeye ni nani kwa sababu ni Rais, tukumbuke Rais hakujiumba mwenyewe.
 
hivi kwa nini waislam wengine hawadondoki dondoki wakati wa mfungo??? au wanafunga kinafiki? au wanakula kwa siri??

good question....

na bila shaka katika group ya waliokuwa jangwani kuna wengi tu wana saumu why yeye tu????

kuhusu ikiwa wanafunga kinafiki au wanakula kwa siri sidhani...bali nadhani kuna unafiki kwa kikwete kusingizia saumu kila anapoanguka..

saumu saumu......good scapegoat eehh!!!!!
 
Nawashangaa sana CCM! Kwa nini wasitwambie ukweli ? Asiumwe yeye ni nani kwa sababu ni Rais, tukumbuke Rais hakujiumba mwenyewe.

Tatizo Bi Kirembwe JK sasa hivi wanaCCM wamemsusia amebakia na wanafiki ambao wanamchekea usoni sasa ana majukumu mengi yeye ashughulikie mpasuko ndani kusuluhisha, yeye rais wa nchi na anavyopenda kusafiri basi nako anakutaka waswahili husema mtaka yote ..............
 
Rais alipumzika kidogo na akaendelea na speech. Hali ni nzuri na mambo ni shwari.

Hata kama we ni patriot, lakini usiseme usicho na uhakika nacho. Raisi amerudi jukwaani akajaribu kuhutubia kwa dakika chache na kisha akaaga na kuondoka huku watu wakishangaa shangaa.

Unadhani mkutano wa kampeni wa ccm jangwani unheweza kuisha saa kumi kasoro robo?
 
Ni kweli amedondoka madodyguard wa bongo ni wa hovyo wqamemwacha hadi mzee mzima analamba mchanga badala ya kumwahi asidondoke jumla!

hakuanguka jumla mabodyguard wake walimuwahi kabla hajafika chini. Mbona hata Dr Slaa alianguka bafuni huko mwanza hadi kuvunjika mkono. wote wameanguka tofauti mmoja kaanguka bafuni mwingine jukwaani. hii ni bahati mbaya inaweza ikamtokea mtu yoyoye wakati wowote.
 
Naomba mambumbumbu wa amani muache kuchochea chuki na hulka ya dharau katika nchi hii iliyojengwa kwa misingi ya heshima na upendo.

Ndio maana Dr. Slaa alipodondoka na kuteguka mkono hakuna aliyesema RIP. Badala yake watu wote tulimuombea apone haraka aendelee na kazi za ujenzi wa Taifa.

Muwe wastaarabu.
 
Inawezekana ikawa ni saumu kutokana na mazingira yaliyopo. Bila shaka tangu asubuhi alikuwa na kazi nzito za kichama katika kuhakikisha maandalizi yanaenda vizuri. Pole yake.
Swaumu? Hakuna lolote anatafuta public huruma ya wananchi! Ah siasa kazi kwelikweli!
 
Kuanguka sio yeye tu kumbuka Dr Slaa aliaguka majuzi bafuni Mwanza na kuvunjika mkono,ile ni ajali kama ajali nyingine
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom