Kikwete aahirisha uchaguzi wa Mwenyekiti wa AU

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
8,814
17,160
Habari zilijojiri hivi karibuni zinasemwa kwamba,uchaguzi wa mwenyekiti wa tume ya Afrika (AU) uliofanyika Kigali umeahirishwa mpaka Januari mwakani ili kumpata mgombea anayetosha(mwenye nguvu na ushawishi).

Tokea mwanzo wa uchaguzi kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi huo ungehairishwa ili kumpa nafasi Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete nafasi hiyo.

Hivi karibuni JK alikaririrwa kwamba akiombwa kuisadia Afrika atafanya hivyo.sources:The Failure of AU Commission Election : Lessons and Perspectives

AU leaders fail to choose a successor to Dlamini Zuma - CHANNELAFRICA


AU+Chair+Makhosazana+Zuma.jpg

AU CHAIRPERSON MAKHOSAZANA ZUMA
 
Nadhani Kikwete alitaka ukatibu mkuu AU siyo uenyekiti WA Kamisheni ya AU
 
Back
Top Bottom