Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Hilo la kuhitaji wataalamu ndio mtihani mkubwa kwake
aina ipi ya wataalamu atawatumia...kufeli au kufaulu kuna tegemea team yake ya economists itakuaje
Huyu mtu hawezi team work,anaamini yeye ndio yuko sahihi.Tabia ya kufanya kazi na timu inahitaji mtu mwenye uwezo wa kusikiliza. Magufuli anaweza kufanya kazi vizuri kama dikteta na sio Kiongozi wa demokrasia.Hawezi kushawishi na mbadala wake ni kutumia nguvu.
Kwa nnavyoona, wana CCM wamwombee sana amalize mwaka kwenye hicho kiti.