Kikwete a smart Man that I know

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,217
9,500
Hilo la kuhitaji wataalamu ndio mtihani mkubwa kwake
aina ipi ya wataalamu atawatumia...kufeli au kufaulu kuna tegemea team yake ya economists itakuaje

Huyu mtu hawezi team work,anaamini yeye ndio yuko sahihi.Tabia ya kufanya kazi na timu inahitaji mtu mwenye uwezo wa kusikiliza. Magufuli anaweza kufanya kazi vizuri kama dikteta na sio Kiongozi wa demokrasia.Hawezi kushawishi na mbadala wake ni kutumia nguvu.

Kwa nnavyoona, wana CCM wamwombee sana amalize mwaka kwenye hicho kiti.
 
IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
10,183
7,782
Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.

Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.

Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?

Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.

Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.

Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.

Mtazamo wangu ni kwamba kama hiyo speech ya JK ni nzuri kama ulivyosema, na kwamba imetekelezwa vizuri, je JPM angetumia more than one hour kueleza kero kibao ambazo ni sugu kwa wananchi? Watendaji wanaenda kufanyia vikao vya bodi Ulaya rais anawachekea? Au ni kwa sababu na rais wao naye kila siku wanapishana angani? Halafu maajabu mengine eti Membe naye anamuunga mkono Magufuli kupiga stop safari za nje wakati kumbe Wizara yake inaongoza kwa kwenda nje.
 
walimweupe

Member
Aug 16, 2015
64
66
Hilo la kuhitaji wataalamu ndio mtihani mkubwa kwake
aina ipi ya wataalamu atawatumia...kufeli au kufaulu kuna tegemea team yake ya economists itakuaje
Atumie hata Prof Lipumba ikibidi na jopo la wataalamu wengine, tukiweka uzalendo kwanza inawezekana
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
10,146
11,957
Hilo la kuhitaji wataalamu ndio mtihani mkubwa kwake
aina ipi ya wataalamu atawatumia...kufeli au kufaulu kuna tegemea team yake ya economists itakuaje

The boss nitofautiane nawe so kweli kwamba ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi unahitaji, economist pekee nadhani tunahitaji jopo LA wataalamu toka fani mbalimbali wakishirikiana na wachumi wabobevu siyo wachumi theoretical oriented',

kwa mfano kama tukiamua kuwekeza kwenye hospital za kisasa ili wagonjwa toka nchi jirani waje kutibiwa hapa, kama ilivyokuwa Kule semunge kwa babu, tutahitaji mawazo ya wachumi pamoja na wanataaluma ya tiba,
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,837
94,372
The boss nitofautiane nawe so kweli kwamba ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi unahitaji, economist pekee nadhani tunahitaji jopo LA wataalamu toka fani mbalimbali wakishirikiana na wachumi wabobevu siyo wachumi theoretical oriented',

kwa mfano kama tukiamua kuwekeza kwenye hospital za kisasa ili wagonjwa toka nchi jirani waje kutibiwa hapa, kama ilivyokuwa Kule semunge kwa babu, tutahitaji mawazo ya wachumi pamoja na wanataaluma ya tiba,Kuna vitu economists only ndo wanaweza
mfano inflation na currency value.....
ukiwa na watu bomu hata uwe na mipango mizuri vipi
kama inflation haiko controlled na currency inashuka tu ovyo ovyo hufanikiwi
 
walimweupe

Member
Aug 16, 2015
64
66
Huu ulioandika ni upumbavu.

10 yrs kikwete kaimalizia angan kama popo na kwa gharama zakutisha- katutia hasara isiyo na kiwango
This man (Maguful) ndo kwanza katoa hotuba na baraza lake hajaunda.

Why unampigia unajim as if ameshindwa utekelezaji kama alivyofeli mkwere

Elimu hoyoooo kabisa

Afya hovyoooo kabisa

Viwanda na biashara tumekuwa shamba la bibi kila kichaa anajivunia nakubebaba atakacho

Madawa ya kulevya ndo usiseme

Usmati wa mkwere upo wapi mpuuzi wewe zaid yakunua nakucheka hovyo tukiumizwa na makodi makubwa na yeye kukimbizia busha amerika baba zetu wakifia Muhombili

Grrrrrrrrrry this is a Stupidy thread so far to come accross my eyes.

mbona kaandika contents. Inaonekana ulipoanza soma tu ukachukia moja kwa moja. pata glass ya maji vuta pumzi halafu soma tena utamuelewa.Issue ya Rais kuwa na watu mahiri wa kumshauri ktk masuala yenye impact kwako na kwangu kama uchumi ni obvious....ukakasi umepata wapi sasa
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,698
41,365
Nitabakia mpinzani daima mpaka pale ccm itapoondoka. Mfumo ccm umeota mizizi, mtu mmoja aitwae Pombe hawezi ufumua. Naamini maendeleo yatakuja kwa kutoruhusu chama kimoja kudumu madarakani muda mrefu.

Hoja yako INA mashiko nakubaliana na wewe kwa ccm hamna jipya
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
12,098
14,449
mbona kaandika contents. Inaonekana ulipoanza soma tu ukachukia moja kwa moja. pata glass ya maji vuta pumzi halafu soma tena utamuelewa.Issue ya Rais kuwa na watu mahiri wa kumshauri ktk masuala yenye impact kwako na kwangu kama uchumi ni obvious....ukakasi umepata wapi sasa

Uzuri wa hotuba sio mapambio ni matendo na utekelezaji.

Mambo ya mkwere ni uvundo na upuuzi.

Unalinganishaje hotuba za mtu alifeli katika utekelezaji na yule ambaye hata hajaunda balaza?

Hapa ni wehu tu ndo wanaweza ona mantiki ya huu ujinga.

Tunalinganisha maneno badala ya outcomes ... .this is crazy.
 
ABDONA

Senior Member
Aug 2, 2015
119
26
jana nimesikiliza hotuba hotuba ya magufuli nikalinganisha na za jk, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya jpm ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.

Wakati jk akisema ataanzisha mradi fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema nssf ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili kawe alisema nhc ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china tanzania na oman, jk aliamini zaidi katika fdi.

Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? Yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?

Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather english boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? Sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.

Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? Anadhani hayapo kisheria? Anadhani akina mbowe hawayaoni? Mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? Ukweli there is a chain of bureaucracy.

Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.

hebu nisaidieni! Hivi watu wanamna hii huwa wana fikra kweli? Au huwa wanafikiri kwa kutumia nini? Mafisadi wanabadili kauli kama abadilikavo kinyonga! Jana jk alikua mbaya leo anaonekana alikuwa mwema! Duuuh kazi tunayo nchi hii! Ila mhe. Magufuli usikate tamaa, mijitu hii haielewi inachotaka wala inakoelekea.
 
Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,765
2,288
Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.

Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.

Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?

Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.

Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.

Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.

Kiongozi ni kweli Kikwete alifanya nafasi yake hata hivyo viongozi wake alio wachagua aliwaamini sana na kuwapa Uhuru mkubwa ila kwa kiasi flani wakamuangusha:
Mchango wangu kwa hotuba ya magufuli ni kama ifuatavyo;

1. Ubinafsishaji wa Viwanda na mashamba sio sawa na kuuza gari lako au shamba lako unalo miliki;
Huwa kuna masharti ya kisheria yanayo ambatana, ambayo ni kufufua kiwanda husika kizalishe na kiajiri; kama ni shamba ulime mazao mliyokubaliana au Ufuge mifugo iliyo kubaliwa katika eneo husika na kuweza kuajiri na kuongeza kipato kwako na wanao zunguka mradi husika. Kushindwa kutekeleza hayo makubaliano...unatakiwa kurudisha kiwanda au shamba kwa mmiliki ambaye ni serikali...ili apewe anayeweza kuendeleza.

2. Kuhusu wazo lako kuwa, tukitengeneza viatu wa pure leather tutashindwa kuvinunua??? nashindwa kukuelewa. Sasa hivi tatizo kubwa linalo maliza uchumi wa nchi ni kuagiza bidhaa nje na kutokuuza nje. Kama tutaweza kuzalisha viatu vya Ngozi vyenye ubora, kwanza tutakuza ajira lakini pia vitakuwa bei nafuu, muhimu zaidi TUTAUZA nje ya nchi na kuimarisha uchumi (refer China mwaka 1945)

3. Kusema kuwa maushuru mengi kwenye zao la pamba yasiyokuwa na tija, kama yangekuwa na tatizo Mh Mbowe angekuwa ameyaona nakushangaa!!!!
Kama huyo Mh Mbowe unaye muamini alishindwa kuona sheria mbovu kabisa ya manunuzi inayotupotezea Mabilioni ya pesa kwa nini aweze kuona hiyo ya kodi za pamba ambayo ni kama mbegu ya haradali?
Sheria ya manunuzi imepelekea ukarabati wa majengo kadhaa ya Serikali kutumia hela nyingi kuliko kujenga majengo mapya???

4. Mimi napata hasira: huyo muheshimiwa unaye muamini sana; ameshindwaje kupeleka mswada bungeni kuwa fanicha zote za maofisi ya serikali zitoke humu nchini? tutaokoa bilioni mangapi na kuwapa ajira vijana wetu wa seremala...

5. Binafsi niliona hotuba ya jana kuwa ni ya kimkakati na inayotupa matumaini wenye nia njema na nchi yetu.
Wazungu wanasema kujua tatizo ni nusu ya kulipatia majibu " magufuli anajua matatizo ya watanzania"
kumbuka; Jana ilikuwa ni hotuba ya ufunguzi...angekuwa anatoa solution ya kila tatizo ingemchukua siku nzima au zaidi kumaliza; hata hivyo ujue Raisi sio yeye pekee anatoa majibu ya matatizo ya watanzania; majibu hutolewa na mawaziri ambao bado hata hawajateuliwa.

Inawezekanaje Raisi aliyekaa kwenye kiti cha Urais kwa muda wa wiki mbili atoe majibu ya matatizo yote ya watanzania mengine yana zaidi ya miaka 50? Sijui kama ulikua una maanisha au unatania?

Think twice!
Hapa Kazi tu

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,988
10,343
Napita. Naenda kutafakari safari za JK duniani! Kweli ni mvumbuzi. Hata Jamaica kafika kubembea! Mhhh! ndio usmart huo!
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
12,763
9,249
Taratibu mtaanza kukimbiana humu baada ya Vumbi kutulia sisi tunawasubiri kwenye Kona ili tulete mabadiliko ya Kweli....Mambo haya wengine yuliyaona mapema sasa ili tusiharibu Furaha za watz wenzetu imebidi tutulie kdg Ila muda utafika mtagundua huko CCM hata akigombea OBAMA hakuna jipya litafanyika Mkishaujua ukweli mtakuwa waKALI kuliko hata sisi tulioanza kuuona ukweli siku nyingi
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
12,763
9,249
Ndugu adolay Waliomuangusha JK ndio hao anaotarajia kuwateua kwenye Baraza la mawaziri unategemea jipya gani? Poleni mnaoishi kwa matumaini yakwamba JMP atafanya jipya kwenye hii Nchi
 
Last edited by a moderator:

Kwamhuzi

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
1,764
397
Speech haimsaidii mwananchi wa kawaida,hayo ni yenu.Anachotaka yeye ni mabadiliko katika maisha yake.Tunataka vitendo.Kama anaweza kuwaletea wananchi maendeleo,inatosha.
Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.

Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.

Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?

Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.

Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.

Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
12,763
9,249
Wewe mtu Mparee2 Futa ujinga wako hapo na4 mambo mangapi ya maana wapinzani wamwmeyaleta huko Bungeni mkaishia kukata Mauno tu...
 
Last edited by a moderator:

Uloi nga mâché68

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
486
153
Wewe ni mpumbavu na lofa Kama UKAWA walivyoambiwa na Che Nkapa!QUOTE=eddy;14675999]Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.

Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.

Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?

Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.

Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.

Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.[/QUOTE]
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom