Kikweta aapa kuwa hatahudhuria mechi za taifa star au kili star | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikweta aapa kuwa hatahudhuria mechi za taifa star au kili star

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by AMARIDONG, Dec 14, 2010.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Baada ya ushindi wa jumapili kutafsiriwa kuwa ni kutokana na kutokuwepo kwa raisi uwanjani,jk amekiri kuwa huenda damu yake haiko na mapenzi ya dhati kwa timu zetu za taifa hivyo ameapa kuwa hataenda uwanjani hata mara moja pale timu za taifa zikiwa zinacheza ili kuwahakikishia ushindi wakati wote.

  Teheeeeeeeeeeeeeeeee mkwere bana hivi kumbe anajua anagundu;;;
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Usanii tu,
   
 3. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Si tu katika michezo anagundu hata katika maendeleo atoke IKULU
   
 4. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  maksimo ndo mwenye gundu, alikuwa analeta siasa ktk soka.
   
 5. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Maximo kajenga msingi
   
 6. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Niuze bagia mimi ?na mama yako atauza nini?au unaleta kujua hapa wakati bagia ndo zilizokufikisha hapo ulipo?
   
 7. Y

  Yetuwote Senior Member

  #7
  Dec 14, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaanza uchokozi
   
Loading...