kikulacho kipo nguoni mwako

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,712
hii story ni ya kweli !

kuna jamaa mmoja ambaye tuna fahamiana mkoa x kanda ya ziwa.
ila katika kuja mkoa huo x ambao nipo jirani nao,aliweza kuanza maisha huo mkoa kama mfanyabiashara.

unajua kila eneo lazima kupata marafiki ni lazima.
basi jamaa kutokana ni mtu wa bata na pande za kujidai na kundi lake ambao hao marafiki aliokutana nao huo mkoa X.

huyu jamaa akaja kupata mwanamke ambaye mpaka wa kapata mtoto na maisha ya pika pakua.

baada mrefu huku na huku jamaa mambo yaka mwendea kombo hata pesa ya kupeleka nyumbani hakuna.

rafiki yake wa karibu ambaye kidogo pesa zipo ndio alikuwa msaada kwake.

msaada wa huyo rafiki ukawa unalisha familia nzima.

baada ya miezi mwanamke kaanza kuleta zarau mpaka wakaachana kutokana na uchumi.

ila rafiki wa jamaa bando anaendelea kutoa msaada mume na mke.

kutokana na utengano rafiki wa jamaa kaamua kuchukua kabisa majukumu na kumiliki mke wa jamaa.

jamaa kuja kugundua ndo hivo basi,pesa hana wala lolote.

jamaa kilichobaki kaondoka mkoa x kuanza maisha mbele kwa mbele.

ili kupunguza msongo wa mawazo

sorry kwa kuandika vibaya

ushuuda
[mention]Jokajeusi [/mention] [mention]Liverpool VPN [/mention]

[mention]Mshana Jr [/mention] kuna lolote la kutoa hapa kwa ajili ya vijana wenye mahusiano
 
Ni hatari sana kumtegemea rafiki hasa kwenye masuala ya kifamiia.. Anaweza kukusaidia lakini si vema akajua kila kitu kukuhusu.. Ukimpa huo mwanya kuchapiwa ni lazima
 
Hiyo ipo sana mbona

Kama umepigika umeyumba kiuchumi

Alafu una mke ana mvuto,chura lazima

Mshikaji bazazi atampitia tu

Ova
 
Kuna kauli wanasema..Mapenzi sio pesa ila pesa ina nafasi katika mapenzi.
 
Hugo jamaa hana adabu hana utu ni mnyamaa,huezi piga wife ya jamaa ako
 
Back
Top Bottom