Kwenu ni mitaa gani mkuu?
habari wanajf,
nimerudi tena kuwajuza habari ya kikosikazi ambacho nilisema kitaanza kuwashughulikia kimya kimya vibaka, na hii ni baada ya kuniibia.
Alfajiri ya leo kazi imeanza.
View attachment 97080
View attachment 97079
Hajafa ameumizwa tu.
Jamani hicho kikosi kazi sikisogee hadi hapo Mwenge kuna jamaa kaniibia waleti yenye vitambulisho vyangu vyote.Najiskia hasira sana maana napata shida wakati yeye hana chakuvifanyia zaidi kavitupa tu.Wanaudhi sana hao watu
Unataka kusema huyu hajawahi namba? Halafu kwa haraka haraka ukimwangalia nadhani jamaa ni mbeba vitu vizito...naona ana guns "tricepts na bicepts" zimevimba si mchezo
Jamaa mzima tu kapelekwa Hospitalini, alikuwa na bonge la transformer (Ilizi).
Aisee kuibiwa kunauma sana ila kuua si adhabu stahiki.. Mkuu una moyo aisee tena hata TISS wanakuchukua vizuri sana..