Kikosikazi kimeamza rasmi kuwashughulikia vibaka.

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,621
1,706
Habari wanajf,
Nimerudi tena kuwajuza habari ya kikosikazi ambacho nilisema kitaanza kuwashughulikia kimya kimya vibaka, na hii ni baada ya kuniibia.
Alfajiri ya leo kazi imeanza.
IMG00059.jpg

IMG00057.jpg
 
Jamani hicho kikosi kazi sikisogee hadi hapo Mwenge kuna jamaa kaniibia waleti yenye vitambulisho vyangu vyote.Najiskia hasira sana maana napata shida wakati yeye hana chakuvifanyia zaidi kavitupa tu.Wanaudhi sana hao watu
 
habari wanajf,
nimerudi tena kuwajuza habari ya kikosikazi ambacho nilisema kitaanza kuwashughulikia kimya kimya vibaka, na hii ni baada ya kuniibia.
Alfajiri ya leo kazi imeanza.
View attachment 97080

View attachment 97079

hivi nani kwa hili amefanya kosa kubwa zaidi ameiba hatujui ni kitu gani lakini walioibiwa wamemuua sasa je kuiba na kuua ni sawa? Nadhani wote mumekosea kwani matando yenu nyote ni dhambi kwa muumba wenu. Ukukosewa nawe usilipe kosa
 
Hayo mazingira nayafananisha na eneo fulani hivi Mwananyamala Kisiwani...
 
Hajafa ameumizwa tu.

Unataka kusema huyu hajawahi namba? Halafu kwa haraka haraka ukimwangalia nadhani jamaa ni mbeba vitu vizito...naona ana guns "tricepts na bicepts" zimevimba si mchezo

attachment.php
 
Hicho kikosi kazi chako na wenyewe sio wezi kweli? Sasa nguo za watuhumiwa ziko wapi?
 
Jamani hicho kikosi kazi sikisogee hadi hapo Mwenge kuna jamaa kaniibia waleti yenye vitambulisho vyangu vyote.Najiskia hasira sana maana napata shida wakati yeye hana chakuvifanyia zaidi kavitupa tu.Wanaudhi sana hao watu

Mkuu wallet hauikuwa hata na Jero??
 
Tatizo ni ukosefu wa ajira kwa vijan... kama amekufa RIP, pole sana, inauma kijana kufa kama kuku,
watawala wamepwaya sana...
 
Unataka kusema huyu hajawahi namba? Halafu kwa haraka haraka ukimwangalia nadhani jamaa ni mbeba vitu vizito...naona ana guns "tricepts na bicepts" zimevimba si mchezo

attachment.php

Jamaa mzima tu kapelekwa Hospitalini, alikuwa na bonge la transformer (Ilizi).
 
Jamaa mzima tu kapelekwa Hospitalini, alikuwa na bonge la transformer (Ilizi).

Aisee kuibiwa kunauma sana ila kuua si adhabu stahiki.. Mkuu una moyo aisee tena hata TISS wanakuchukua vizuri sana..
 
Aisee kuibiwa kunauma sana ila kuua si adhabu stahiki.. Mkuu una moyo aisee tena hata TISS wanakuchukua vizuri sana..

Binafsi siwezi kuua mtu, labda itokee nilianzishe na raia waingilie waue.

Hakuna kitu naogopa kama kuua, mimi ninachofanya ni kuwapa sweet pain.
 
shughuli kama hii ilifaa kufanyiwa mafisadi maana wao wameiba mpaka wanasababisha maafa kwa mamilioni ya Watanzania maskini.
 
Back
Top Bottom