Kikosi Simba SC kimejaza wachezaji wa kimataifa

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,610
2,000
Mjionee, utopolo mtasubiri sana.
E3HTE8-WEAI7OxU.jpg


Kwa hali hii Simba itautawala kwa muda mrefu sana mpira wa Tanzania.
 

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,788
2,000
Utopolo wamechangamka kwa Manji kurudi bongo!! Hii ni aibu sana!! Ina maana bila Manji huko Yanga hamna kitu kabisa!!! Tafadhali utopolo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom