Kikosi changu cha kwanza cha NBC Premier League kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Natumai ni Wazima Wote Hapa..!

Ufuatao ni mtazamo wangu kuhusu Kikosi cha kwanza cha Wachezaji na Benchi la Ufundi kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2022 kwa mzunguko wa kwanza na baada ya mchezo wa kwanza kwa mzunguko wa pili.

Kikosi cha kwanza;

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Inonga Henock
5. Bakari Mwamnyeto
6. Khalid Aucho
7. Pape Sakho
8. Claotus Chama
9. Reliants Lusajo
10. Prince Dube
11. Vitalis Mayanga

Akiba;

1. Metacha Mnata
2. Lusajo Mwaikenda
3. Dickson Kibabage
4. Abdallah Kheri
5. Faisal Salum
6. Aziz Andambwile
7. Sadio Kanoute
8. Cleophace Mkandala
9. Fiston Mayele

Kocha Mkuu;
Pablo Franco Martin

Kocha Msaidizi;
Mathias Lule

Kocha wa magolikipa;
Milton Nienov

Daktari wa Timu;
Fareed Cassem

Rangi ya Jezi;
Home - Red
Away - Blue
Third Kit - Black & Orange

Uwanja wa Nyumbani;
Azam Complex.

CEO;
Abdulkarim Amin Popat

Basi la Timu;
Zhongtong Climber New Model.
 
[/b]Rangi ya Jezi;[/b]
Home - Red
Away - Blue
Third Kit - Black & Orange

Uwanja wa Nyumbani;
Azam Complex.

CEO;
Abdulkarim Amin Popat

Basi la Timu;
Zhongtong Climber New Model.
Bangi mbichi na jua huleta matokeo ya namna hii.
 
Umejua kuwanunisha watu.Wait...!
 
Umefanya jambo la busara sana kumuweka mayele sub
Mayele amefungana na Lusajo wote wana magoli 10 kwa sasa.

Lusajo lazima atakuwa bora kwangu kwasababu anacheza Namungo FC timu ambayo haina wachezaji Quality kama ilivyo Azam FC, Yanga SC, Simba SC, lakini ana mabao 10.

Na huwezi kuwachezesha wote pamoja kwasababu uchezaji wao unafanana.
 
Bangi mbichi na jua huleta matokeo ya namna hii.
Najua una makasiriko ambayo hayana maana ilimradi na sisi tukujibu huu upumbavu wako.

Lakini mwerevu hujenga hoja, au akiona hakuna umuhimu anakaa kimya.

Ndo maana nikasema mtazamo wangu.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Mayele amefungana na Lusajo wote wana magoli 10 kwa sasa.

Lusajo lazima atakuwa bora kwangu kwasababu anacheza Namungo FC timu ambayo haina wachezaji Quality kama ilivyo Azam FC, Yanga SC, Simba SC, lakini ana mabao 10 na huwezi kuwachezesha wote pamoja kwasababu uchezaji wao unafanana.
Hapo kwenye uchezaji wao kufanana napinga

Mayele ni mviziaji wakati mwenzake ni husler

Pia kunaye yule mchizi wa geita gold George mpole, yule ni mchezaji mzuri sana ni vile yuko kwenye club ambayo haiangaliwi sana mpaka itaookutana na hizi timu mbili
 
Natumai ni Wazima Wote Hapa..!

Ufuatao ni mtazamo wangu kuhusu Kikosi cha kwanza cha Wachezaji na Benchi la Ufundi kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2022 kwa mzunguko wa kwanza na baada ya mchezo wa kwanza kwa mzunguko wa pili.

Kikosi cha kwanza;

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Inonga Henock
5. Bakari Mwamnyeto
6. Khalid Aucho
7. Pape Sakho
8. Claotus Chama
9. Reliants Lusajo
10. Prince Dube
11. Vitalis Mayanga

Akiba;

1. Metacha Mnata
2. Lusajo Mwaikenda
3. Dickson Kibabage
4. Abdallah Kheri
5. Faisal Salum
6. Aziz Andambwile
7. Sadio Kanoute
8. Cleophace Mkandala
9. Fiston Mayele

Kocha Mkuu;
Pablo Franco Martin

Kocha Msaidizi;
Mathias Lule

Kocha wa magolikipa;
Milton Nienov

Daktari wa Timu;
Fareed Cassem

[/b]Rangi ya Jezi;[/b]
Home - Red
Away - Blue
Third Kit - Black & Orange

Uwanja wa Nyumbani;
Azam Complex.

CEO;
Abdulkarim Amin Popat

Basi la Timu;
Zhongtong Climber New Model.
Hiki kikosi hata Matola atakipinga.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye uchezaji wao kufanana napinga

Mayele ni mviziaji wakati mwenzake ni husler

Pia kunaye yule mchizi wa geita gold George mpole, yule ni mchezaji mzuri sana ni vile yuko kwenye club ambayo haiangaliwi sana mpaka itaookutana na hizi timu mbili
George Mpole nimempunguza alama kufuatia mchezo wao uliopita..Alikuwa anabutua sana akifika eneo la 18 baada ya kuwa mtulivu.

Sijui alikumbwa na dhahama gani..!
 
Najua una makasiriko ambayo hayana maana ilimradi na sisi tukujibu huu upumbavu wako.

Lakini mwerevu hujenga hoja, au akiona hakuna umuhimu anakaa kimya.

Ndo maana nikasema mtazamo wangu.
Dawa ya mjinga ni kutokujibu ujinga wake.
 
George Mpole nimempunguza alama kufuatia mchezo wao uliopita..Alikuwa anabutua sana akifika eneo la 18 baada ya kuwa mtulivu.

Sijui alikumbwa na dhahama gani..!
Ile mechi ilitupa maswali mengi sana siku ile hata mimi nilishangaa sana
 
Ile mechi ilitupa maswali mengi sana siku ile hata mimi nilishangaa sana
Alifikia kucheza rafu, na kupiga mipira hovyo kama alipania vile.

Sasa mshambuliaji unayetarajia akupe matokeo chanya namna ile haifai.
 
Mayele amefungana na Lusajo wote wana magoli 10 kwa sasa.

Lusajo lazima atakuwa bora kwangu kwasababu anacheza Namungo FC timu ambayo haina wachezaji Quality kama ilivyo Azam FC, Yanga SC, Simba SC, lakini ana mabao 10 na huwezi kuwachezesha wote pamoja kwasababu uchezaji wao unafanana.
Hapo kwa maelezo yako upo sahihi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba ruksa ya kusema chochote hapa inatoka kwako? afu uache tabia zako za kike.
Mimi siyo mpumbavu kama wewe, wapi nimesema ruksa ya kusema chochote inatoka kwangu.

Ebu kaza macho hayo uone vizuri, nini ulisema ndo Mimi nikakutuliza kuwa kaa kimya.

Wee ndo umeanza kuleta Kejeli unadhani nitavumilia siyo lazima nikupasua tu, halafu tabia za kike unazo wewe Maluuni Waheed
 
Hapo kwa maelezo yako upo sahihi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu modavid kuna baadhi ya mishabiki maandazi imeumia kweli Fiston Mayele kukaa benchi.

Bado wana yale mambo ya kizamani kuwa mchezaji akianzia benchi basi garasa.

Nimetoa sababu hapo, kwanini Lusajo aanze na kama ningempuuza basi hata benchi asingekaa na nasisitiza huu ndo mtazamo wangu.

Mbona nimewaacha wengi tu kwenye benchi, akina Kanoute, Faisal ambao ni wazuri tu.
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Similar Discussions

Back
Top Bottom