KIKOSI CHA ZIMA MOTO NA UOKOAJI

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
20161221_120844.jpg


Nimeshangazwa kuona kuwa hadi leo hii kikosi chetu kinatumia zana ya SHOKA kukata mti.
Inabidi wajipange vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Tz inaongoza kwa police mburumatari, akili zao kama hizo shoka ikilengwa sehemu inaenda hawajui kama mti, mkate au chuma , chezea elimu ya kidato cha 4 wewe
 
Hebu tuache utani jamani. Mbali na ufisadi, roho mbaya, uzembe na umbea kuna kitu ambacho sisi tunaweza kufanya kikawa kwenye standard inayotakiwa? Ni kweli tu masikini kiasi kwamba hatuwezi hata kununua chain saw za zimamoto? Mbona hivi lakini?
 
Back
Top Bottom