Kikosi cha wasomi [Doctors, engineers, na wengine] kuhutubia mkutano wa CHADEMA Reading, UK

Kuwa mfuasi wa Magamba yataka moyo.......

Wanaonifuatilia JF wanajua sina affiliation na chama chochote, naenda na principles ambazo zinachana kotekote kama msumeno wa sheria.

Wewe ambaye unafuata chama bila kuuliza maswali ya ku challenge, maswali ambayo yanaweza hata kukisaidia chama chako mwenyewe, ndiye utakayeona mimi ni mfuasi wa "magamba" bila hata kujua rekodi yangu hapa JF.

And of course you can't reply with answers, just idiocratic vomit.
 
M4C itamtoa kila mtu pangoni mwaka huu....
 
Visima vya maji Igunga, Arumeru nk vinavyochimbwa na CDM hata ccm wanachota na kunywa. Umeambiwa serikali dhaifu ya ccm imeshindwa kuweka mfuko huo. Sasa CDM imeliona hilo na italisimamia kwa manufaa ya WaTZ wote wa UK hata kama akifa gamba huko UK atasafirishwa na CDM hadi nyumbani TZ.
Huo mfuko wa kufa na kuzikana unachafua ajenda. Kwani huko UK mnasaidiana kiitikadi???? Maana mkutano huo utaudhuriwa na wanachama/wapenzi wa CHADEMA. Nashauri itafutwe forum nyingine kwaajili ya kuanzisha huo mfuko wa kufa na kuzikana ili tudumishe utaifa wetu hata kama mpo nje ya nchi.
 
Unaweza kuyaorodhesha baadhi ya hayo mambo yaliyo na kina zaidi ya vyama?

Ewaaa,

Zaidi ya kuwa na vyama tu - ambavyo vinaweza kuwa vyama vinavyoendeshwa shaghalabaghala- kuna umuhimu wa kuwa na vyama vinavyoendeshwa kwa itikadi.

Sasa hivi napata tabu kuelewa itikadi ya CHADEMA kwa sababu inatuma message kwamba ina endorse "Leninism-Marxist" kwa kuliita jeshi lake (lililopigwa marufuku) "Red Brigade" (angalia hizo links hapo ). Naanza kupata maswali kwamba, je, CHADEMA inaelekea kule marehemu Kolimba alikokuita kukosa "dira na muelekeo"?

Pia, kwa mtu anayefahamu historia ya "Red Brigade" atajua ni kikundi cha "Leninist-Marxists" waliokuwa wana advocate violence katika politics, even by political assasination.

Napata tabu kuamini kwamba wakuu wa CHADEMA hawaijui historia hii, kuna watu wana upevu mkubwa mule.

Sasa wao kuchapa hizi fulana na kuanzisha jeshi la "Red Brigade" ina maana wana endorse violence in politics na political assasinations?

Ndio maana naona mambo kama itikadi ni muhimu, kwa sababu bila itikadi utakuwa all over the place, mara una "Red Brigade" kama "Leninist-Marxist" mara una utandawazi wa kibepari etc.

Kwa hiyo kuna vyama vyenye kuongozwa na itikadi.

Halafu kuna uongozi wa principles tu. Kwamba cahama kikubwa kama CHADEMA ku endorse jina lililokuwa associated na violence is not a good look.

Halafu kuna seriousness. Kwamba chama kama CAHDEMA kuruhusu jina kama hili kuwa associated na chama chao maana yao nini? Wanataka wananchi wanaoelewa "Red Brigade" ni nini tupate picha gani? Kwamba CHADEMA kinajiandaa na some sort of armed struggle au vipi?

Halafu kuna mambo kama ku focus kwenye mambo yenye mantiki kwa nchi bila kufungwa na vyama. Naona hapa kuna ushabiki kiasi kwamba mtu aki criticize CHADEMA, hata kama ni criticism inayoweza kukijenga chama kwa kukifanya kiwe focused zaidi, anaitwa magamba, hata mtu kama anajulikana hafagilii chama chochote kama mimi, by track record.

Hatuwezi kukataa ukabila halafu tuje kufungwa na makabila mapya ya vyama, bila kuelewa itikadi za vyama na kuwa na uhakika kwamba vitatupa kitu tofauti na CCM.

Hatuwezi kutatua matatizo na kushinda vishawishi vya rushwa vinavyoitatiza CCM kama hatujengi utamaduni wa kuheshimu institutions, utamaduni wa kuwa critical kwenye process na kuacha kuheshimu vyama kama dini, kiasi cha kum label yeyote anaye criticize chama chako kama "magamba" au "magwanda".

Mambo ni mengi, hayo ni kwa kuanzia tu chap chap.
 
Kikosi cha wasomi wawili...wewe sema huo mfuko wa kuzikana wa watu wa Kaskakazini toka lini mpemba akasafirisha maiti...
 
Visima vya maji Igunga, Arumeru nk vinavyochimbwa na CDM hata ccm wanachota na kunywa. Umeambiwa serikali dhaifu ya ccm imeshindwa kuweka mfuko huo. Sasa CDM imeliona hilo na italisimamia kwa manufaa ya WaTZ wote wa UK hata kama akifa gamba huko UK atasafirishwa na CDM hadi nyumbani TZ.
Huo mfuko wa kufa na kuzikana unachafua ajenda. Kwani huko UK mnasaidiana kiitikadi???? Maana mkutano huo utaudhuriwa na wanachama/wapenzi wa CHADEMA. Nashauri itafutwe forum nyingine kwaajili ya kuanzisha huo mfuko wa kufa na kuzikana ili tudumishe utaifa wetu hata kama mpo nje ya nchi.
 
Tunatwanga kotekote, Morogoro, Iramba, Bagamoyo, Katavi ...... na hata UK.Hakika tumegundua SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM wametubagua, wametunyonya, wametuchonganisha, wametuibia.........sasa BHAAAAAAAAAAAAAAAAS.
 
Hivi huyu Chilisosi nae ni kiongozi wa Chadema, hawa ndio wataizika rasmi M4C..
 
Hao wasomi wameleta faida gani Tanzania? Hawana tofauti na hao wa M4D(death).

we matope, hao ni wale wanaposimama kuongea, kudai haki kwa hoja zilizo za msingi serikali yako sikivu huwapuuza, ..sasa wanapokutana tena iwe tatizo?! acha wivu usio na manufaa matatizo wewe.
 
Kuhusu Red Brigade, CHADEMA inabidi watoe maelezo maana hilo kundi ni kundi lililokuwa la kighaidi. Ina maana CHADEMA wanaamini katika falsafa ya hilo kundi?
 
Visima vya maji Igunga, Arumeru nk vinavyochimbwa na CDM hata ccm wanachota na kunywa. Umeambiwa serikali dhaifu ya ccm imeshindwa kuweka mfuko huo. Sasa CDM imeliona hilo na italisimamia kwa manufaa ya WaTZ wote wa UK hata kama akifa gamba huko UK atasafirishwa na CDM hadi nyumbani TZ.
Huo mfuko wa kufa na kuzikana unachafua ajenda. Kwani huko UK mnasaidiana kiitikadi???? Maana mkutano huo utaudhuriwa na wanachama/wapenzi wa CHADEMA. Nashauri itafutwe forum nyingine kwaajili ya kuanzisha huo mfuko wa kufa na kuzikana ili tudumishe utaifa wetu hata kama mpo nje ya nchi.
 
Ningekuja lakini naopa Jeshi lenu la Red Brigade.
Ritz sisi sio kama mwigulu nchemba hatuna matatizo tnawapenda watanzania wote, kama nilivyosema hapo juu, SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM
 
Dr.,

Bila ya kukanusha ukweli wa wazi unaoudokezea, napenda ku challenge hii notion inayo imply ya kwamba tatizo letu ni CCM tu, tukiwaondoa mambo yatakuwa "hunky-dory".

Obviously kauli mbiu zina characteristic ya ku oversimplify mambo, lakini hili halizuii a fuller examination ili hata watu wakitumia kaulimbiu hizi, wawe na context.Kwa sababu unaweza kuwambia watu "tatizo ni CCM" wakakupa nchi, uka implode kwa sababu nchi haina culture ya institutional politics, uka wa disappoint watu buree.

Kuna wengine tunaoona kwamba kuna mizizi ya matatizo yetu iliyo katika mambo yaliyo na kina zaidi ya vyama, na kuharakisha lawama kwa CCM tu ni kuficha tatizo.

Nimeuliza kuhusu "Red Brigade" ya CHADEMA hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...bali-operesheni-m4c-morogoro.html#post4461104

Na hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...li-operesheni-m4c-morogoro-2.html#post4463895

Sijapewa majibu.

Inaonekana labda CCM kiko vulnerable zaidi kwa sababu kina form serikali, lakini is CHADEMA truly principled?

Tunahitaji pa kuanzia. Pakuanzia kwa sasa ni kuiweka CCM pembeni. Hii ni hatua muhimu na ya kwanza katika hatua nyingi. Hakuna anayesema kwamba CCM wakiondoka ndio tutakuwa tumemaliza kazi, hapana. Tutakuwa tumeanza safari ndefu na pengine ngumu zaidi. Tatizo ni kwamba sasa hivi hatuendi, kwa sababu barabara yetu ipo blocked-we have to remove the obstacle on our way before we proceed. Tupo pamoja Mhe. Kiranga?
 
Wote utawasikia nia ni kutoa CCM halafu inafatia 'pipo powerrrrr'kwa sauti kubwa, hakuna hata mmoja anaetoa maelezo baada ya kuwatoa wao watafnya nini. Na wale mashabiki wao bila hata kufikiri na wao utawasikia pipo powerrrr, kweli binadamu wa leo ni kama mbuzi.
 
Ritz sisi sio kama mwigulu nchemba hatuna matatizo tnawapenda watanzania wote, kama nilivyosema hapo juu, SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM

Chilisosi,
Nawashauri nendeni Milton Keynes, Buckinghmshire, Holm, Woolstone, Bradwell...kuna Watanzania wengi au mnaogopa watawatoa nishai wamejilipua.
 
Back
Top Bottom