Kikosi cha wanamaji Tanzania kazi yake ni kupiga gwaride tu nyakati za sikukuu?!

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Kikosi cha wanamaji TZ kazi yake ni kupiga gwaride tu nyakati za sikukuu? Iweje nya
kati za majanga tunaagiza waopoaji? Yale manjonjo yao ya majini wakati wa maonyesho hayatoshi kufanya uopoaji? Nifungueni plse.

Ajali ilotokea nungwi meli imezama kwenye kina kirefu sana. Hakuna vifaa vya kusaidia kikosi kufanya kazi yake. Thats why hata s/african divers wameshindwa.

Ndo raha yake ukiwa askari jeshi Tz umemaliza kazi,kazi zinazokuwa zimebaki ni kufyeka majani,kufagia na kuwapa kichapo raia wa Mbagala

kazi yao kubwa ni kutembea kikakamavu mbele ya mfalme. amiri jeshi mkuu. dkt. alhaj. mh. Rais wa jaaamuhuri ya muungwana wa danganyika

Je kuna uwezokano wowote wa kulifutilia mbali hili Jeshi? naomba muongozo kama inawezekana bora tulifute na tuanzishe jingine

Ajali ilotokea nungwi meli imezama kwenye kina kirefu sana. Hakuna vifaa vya kusaidia kikosi kufanya kazi yake. Thats why hata s/african divers wameshindwa.

Ikawaje mkuu miaka 16 sasa toka MV Bukoba bado hawana vifaa na ujuzi tu!! Ila gwaride halilali. Miaka 50 wametuonyesha manjojo mapesa kede kede wanatumia kujinufaisha na viongozi wa kisiasa, kuwapa mijisifa kumbe jukumu kama hili la kutafuta vifaa ndo lingefaa kwa kuadhimisha miaka 50 na siyo kusafisha mahospitali. ambazo ni kazi za wizara ya Afya.

hawana lolote hao, wanasema vifaa hawana. Jeshi kukosa vifaa sielewi maana yake ni nn.

Siku hizi wanajeshi wetu hawanakazi kabisa na ndio maana wengi wanavitambi,tena kwa kujua kuwa wamekosa kazi wengine wanatumika kupanga na kusimamia magari pale ferry.

Ndo raha yake ukiwa askari jeshi Tz umemaliza kazi,kazi zinazokuwa zimebaki ni kufyeka majani,kufagia na kuwapa kichapo raia wa G/mboto

Je kuna uwezokano wowote wa kulifutilia mbali hili Jeshi? naomba muongozo kama inawezekana bora tulifute na tuanzishe jingine
Walifute baad ya kupata vifaa walianzishe kulikoni kula mshahara kwakupiga gwaride

hadi ww upo kwny keyboard unaandika habari za ku-demoralize wanajeshi unaowaita wafyeka majani ni kwa sbb kuna wenzio wanakesha mipakani kwny mahandaki kuhakikisha ww hudhuriki..., ukitaka kuamn kuna wa2 wanaliheshim jeshi nenda kaboya au boda zenye matatizo ya majirani afu utoe maneno unayoyatoa hapa mbele ya raia kule uone..., kwa muonekano wa nje unaweza kudhani watu hawana kazi hadi mchangiaji mmoja anasema lifutwe.., kaa chini fkiria mara mbili..., then kama una ndugu/rafiki mwombe akuletee "shughuli za jeshi wakati wa amani" then utaelewa..,

Mtoa mada.., wanamaji ni jeshi na si kikosi....., na zile parade zinakua na watu maalum wa parade...,

Kuhusu vifaa..., siasa za nchi hii zinakwamisha mambo mengi sana.., unafkiri kuna mwanajeshi anapenda kukaa ndani ya apc isiyokua na computer au kutumia kifaru cha mrusi cha tangu vita ya uganda??

Mkuu pamoja na hayo yote lazima tukiri jeshi letu la wana maji bado inahitajika nguvu zaidi,na wakati wote jeshi letu linatakiwa liwe na vifaa tena vya kisasa sana manake huwezi kujua lini idd amin mwingine atajitokeza.Manake kama idd amini mwingine angejitokeza kupitia kwa maji sisi tutanyosha mikono juu tukisema hatuna vifaa ni aibu.

hadi ww upo kwny keyboard unaandika habari za ku-demoralize wanajeshi unaowaita wafyeka majani ni kwa sbb kuna wenzio wanakesha mipakani kwny mahandaki kuhakikisha ww hudhuriki..., ukitaka kuamn kuna wa2 wanaliheshim jeshi nenda kaboya au boda zenye matatizo ya majirani afu utoe maneno unayoyatoa hapa mbele ya raia kule uone..., kwa muonekano wa nje unaweza kudhani watu hawana kazi hadi mchangiaji mmoja anasema lifutwe.., kaa chini fkiria mara mbili..., then kama una ndugu/rafiki mwombe akuletee "shughuli za jeshi wakati wa amani" then utaelewa..,

Mtoa mada.., wanamaji ni jeshi na si kikosi....., na zile parade zinakua na watu maalum wa parade...,

Kuhusu vifaa..., siasa za nchi hii zinakwamisha mambo mengi sana.., unafkiri kuna mwanajeshi anapenda kukaa ndani ya apc isiyokua na computer au kutumia kifaru cha mrusi cha tangu vita ya uganda??

Tatizo hi nchi mkuu siasa imezidi kuliko kuwajibika kikamilifu pia viongozi we2 walio wengi c wachunguzi wa mambo coz kama majanga yanatokea daily duniani kwa nn na cc 2sistuke hivi janga kama hili likitokea kwe2 je 2navyovifaa? Lakn wao kazi ufisadi2 ni uzembe huu kutokua na vifaa vya kuokolea.

Hivi Tanzania kuna JESHI? Hao mnaowaita wanajeshi ni Wanasiasa waliovaa magwanda!

hadi ww upo kwny keyboard unaandika habari za ku-demoralize wanajeshi unaowaita wafyeka majani ni kwa sbb kuna wenzio wanakesha mipakani kwny mahandaki kuhakikisha ww hudhuriki..., ukitaka kuamn kuna wa2 wanaliheshim jeshi nenda kaboya au boda zenye matatizo ya majirani afu utoe maneno unayoyatoa hapa mbele ya raia kule uone..., kwa muonekano wa nje unaweza kudhani watu hawana kazi hadi mchangiaji mmoja anasema lifutwe.., kaa chini fkiria mara mbili..., then kama una ndugu/rafiki mwombe akuletee "shughuli za jeshi wakati wa amani" then utaelewa..,
Mtoa mada.., wanamaji ni jeshi na si kikosi....., na zile parade zinakua na watu maalum wa parade...,
Kuhusu vifaa..., siasa za nchi hii zinakwamisha mambo mengi sana.., unafkiri kuna mwanajeshi anapenda kukaa ndani ya apc isiyokua na computer au kutumia kifaru cha mrusi cha tangu vita ya uganda??
But mkuu unatoka nje
ya mistari,
Hao walioko Kagera sie tunaowazungumzia,
Si tunasema hawa wa Navy,
Ukiacha kukimbizana na wavuvi wadogo wadogo kila kukicha sioni kingine cha maana wanachofanya hawa wanajeshi

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom