Kikosi cha wachezaji 23 cha Taifa Stars AFCON 2019 chatajwa

Tutakuwa tunapigwa vipigo vitakatifu kama kile kipigo ilichotandikwa timu ya wanawake ya Thailand zidi ya timu ya wanawake ya Marekani kwenye kombe la dunia juzi.
 
Watanzania tunalalamika sababu tumezoea kulalamika na hata kulalamika hatulalamikii vitu vya msingi bali ni mazoea na ushabiki. Kwanza tujue Wachezaji wetu viwango vyao havipishani saana tofauti ni kujituma na exposure kidogo...
Tukianza na upande wa Goalkeeping makipa wote walioitwa ni wazuri na wana kiwango kikubwa sana wanastahili kuwepo ila wote wanakosa experience ni vijana wadogo na kukosa uzoefu ndo kutatucost lakini hamna Mtanzania alieliona hili na kulalamika KASEJA alistahili kuwepo hapa.
Tukija kwenye mabeki wa pembeni upande wa kulia ndo kuna mushkeli kidogo Kessy na Vincent Philipo hawajatulia kiviile Hapa PAUL GODFREY "boxer" alistahili kuwepo. Upande wa kushoto uko vizuri.
Ukija upande wa kati upo vizuri saana wengi wanalalamikia kutokuwepo kwa Banda lakini hata kitakwimu na kutazama soka Banda msimu huu hajafikia performance ya Nyoni, Moris, Yondani au Sonso kama kuna watazamaji wa TPL watakubaliana na mimi kuhusu performance ya Sonso sema wabongo tumekariri eti Banda afu advantage hapa Sonso na Nyoni wana uwezo wa kucheza namba sita (Kiungo mkabaji) na tumewaona wakicheza namba hizo vizuri tu kwenye timu zao.
Kwa upande wa viungo sijajua kwa nini SURE BOY, na MZAMIRU hawapo ila hata hao waliopo sio wabovu wanaweza kufit kutokana na viwango vya wachezaji wetu.
Kwa upande wa mawinga ni sawa kabisa Kichuya sio kivile ukilinganisha na Farid Musa ambaye kiwango chake kina improve. Watu wanalalamika pia Chilunda kuachwa ila huyu Chilunda wa sasa huwezi mlinganisha na Zayd hata kidogo no wonder Tenerife wamemtema.
Kwa upande wa washambuliaji nafasi ya Ulimwengu kocha angempa yule kinda wa U-17 ili apate uzoefu ni mzuri kuliko Ulimwengu mzee wa faulo.
Kwa MKUDE na AJIBU hao ni sawa tu kuachwa hawathamini vipaji vyao, tena kwa upande wa Ajibu nimemshuhudia mwenyewe na tabia zake kipindi akiwa Mwadui FC, anakuja zoezi anavaa viatu zaidi ya dk 45 akimaliza wenzake wnamalizia warm up akiambiwa anajibu anavyojua yeye.
Tukisapoti kikosi chetu ingawa kulingana na vipaji vya wachezaji wetu hatutoboi kokote hatushindi hata mechi moja na droo ni majaliwa
NB KAMA TUTAFUNGA GOLI/MAGOLI MSUVA NDO ATAKUWA TOP SCORER SIO SAMMATA Mark my words
 
Mkuu tuchukulie wewe ungekuwa ni kocha, ni wachezaji gani ambao ungewachukua na wapi ungewaacha?
Japo kwa kauli aliyotoa Samata hata timu ikifungwa sitaumia sana maana wameingiza siasa tayari
 
Zamu hii fouls za Ulimwengu hutaziona,fouls zake nyingi anatumia nguvu,lakini wachezaji kama wa Senegal karibia wote wameshiba
Watanzania tunalalamika sababu tumezoea kulalamika na hata kulalamika hatulalamikii vitu vya msingi bali ni mazoea na ushabiki. Kwanza tujue Wachezaji wetu viwango vyao havipishani saana tofauti ni kujituma na exposure kidogo...
Tukianza na upande wa Goalkeeping makipa wote walioitwa ni wazuri na wana kiwango kikubwa sana wanastahili kuwepo ila wote wanakosa experience ni vijana wadogo na kukosa uzoefu ndo kutatucost lakini hamna Mtanzania alieliona hili na kulalamika KASEJA alistahili kuwepo hapa.
Tukija kwenye mabeki wa pembeni upande wa kulia ndo kuna mushkeli kidogo Kessy na Vincent Philipo hawajatulia kiviile Hapa PAUL GODFREY "boxer" alistahili kuwepo. Upande wa kushoto uko vizuri.
Ukija upande wa kati upo vizuri saana wengi wanalalamikia kutokuwepo kwa Banda lakini hata kitakwimu na kutazama soka Banda msimu huu hajafikia performance ya Nyoni, Moris, Yondani au Sonso kama kuna watazamaji wa TPL watakubaliana na mimi kuhusu performance ya Sonso sema wabongo tumekariri eti Banda afu advantage hapa Sonso na Nyoni wana uwezo wa kucheza namba sita (Kiungo mkabaji) na tumewaona wakicheza namba hizo vizuri tu kwenye timu zao.
Kwa upande wa viungo sijajua kwa nini SURE BOY, na MZAMIRU hawapo ila hata hao waliopo sio wabovu wanaweza kufit kutokana na viwango vya wachezaji wetu.
Kwa upande wa mawinga ni sawa kabisa Kichuya sio kivile ukilinganisha na Farid Musa ambaye kiwango chake kina improve. Watu wanalalamika pia Chilunda kuachwa ila huyu Chilunda wa sasa huwezi mlinganisha na Zayd hata kidogo no wonder Tenerife wamemtema.
Kwa upande wa washambuliaji nafasi ya Ulimwengu kocha angempa yule kinda wa U-17 ili apate uzoefu ni mzuri kuliko Ulimwengu mzee wa faulo.
Kwa MKUDE na AJIBU hao ni sawa tu kuachwa hawathamini vipaji vyao, tena kwa upande wa Ajibu nimemshuhudia mwenyewe na tabia zake kipindi akiwa Mwadui FC, anakuja zoezi anavaa viatu zaidi ya dk 45 akimaliza wenzake wnamalizia warm up akiambiwa anajibu anavyojua yeye.
Tukisapoti kikosi chetu ingawa kulingana na vipaji vya wachezaji wetu hatutoboi kokote hatushindi hata mechi moja na droo ni majaliwa
NB KAMA TUTAFUNGA GOLI/MAGOLI MSUVA NDO ATAKUWA TOP SCORER SIO SAMMATA Mark my words
 
Kakosekana mchezaji kitasa namba zote kuanzia moja mpaka kumi na moja anazicheza vzr sana. Mh. Agrey Mwanri
 
Back
Top Bottom