Ulimwengu m simkubal tangu zaman.... Nazan kwenye mechu ile ya SamaKiba yeye ndo aliongoza kwa Faulo uyo mara 100 ajib ana effects.....Ulimwengu je. Yupo kwenye kiwango chake?
Mkuu wewe Muha nini?yupo labda jina la passport ndio tatizo,angalia No 21 kwenye orodhaKatemwa boss
Mkuu tuchukulie wewe ungekuwa ni kocha, ni wachezaji gani ambao ungewachukua na wapi ungewaacha?Tutakuwa tunapigwa vipigo vitakatifu kama kile kipigo ilichotandikwa timu ya wanawake ya Thailand zidi ya timu ya wanawake ya Marekani kwenye kombe la dunia juzi.
Mechi ya kwanza na Senegal tunalambwa kifurushi cha wiki.Hapa kuna uwezekano kila mechi tukachezea 6+
Hajatemwa angalia jina namba 21 ABDILLAHIE ABDALLA MUSSAYule Yusuph wa blackpool nae katemwa duuuh
Watanzania tunalalamika sababu tumezoea kulalamika na hata kulalamika hatulalamikii vitu vya msingi bali ni mazoea na ushabiki. Kwanza tujue Wachezaji wetu viwango vyao havipishani saana tofauti ni kujituma na exposure kidogo...
Tukianza na upande wa Goalkeeping makipa wote walioitwa ni wazuri na wana kiwango kikubwa sana wanastahili kuwepo ila wote wanakosa experience ni vijana wadogo na kukosa uzoefu ndo kutatucost lakini hamna Mtanzania alieliona hili na kulalamika KASEJA alistahili kuwepo hapa.
Tukija kwenye mabeki wa pembeni upande wa kulia ndo kuna mushkeli kidogo Kessy na Vincent Philipo hawajatulia kiviile Hapa PAUL GODFREY "boxer" alistahili kuwepo. Upande wa kushoto uko vizuri.
Ukija upande wa kati upo vizuri saana wengi wanalalamikia kutokuwepo kwa Banda lakini hata kitakwimu na kutazama soka Banda msimu huu hajafikia performance ya Nyoni, Moris, Yondani au Sonso kama kuna watazamaji wa TPL watakubaliana na mimi kuhusu performance ya Sonso sema wabongo tumekariri eti Banda afu advantage hapa Sonso na Nyoni wana uwezo wa kucheza namba sita (Kiungo mkabaji) na tumewaona wakicheza namba hizo vizuri tu kwenye timu zao.
Kwa upande wa viungo sijajua kwa nini SURE BOY, na MZAMIRU hawapo ila hata hao waliopo sio wabovu wanaweza kufit kutokana na viwango vya wachezaji wetu.
Kwa upande wa mawinga ni sawa kabisa Kichuya sio kivile ukilinganisha na Farid Musa ambaye kiwango chake kina improve. Watu wanalalamika pia Chilunda kuachwa ila huyu Chilunda wa sasa huwezi mlinganisha na Zayd hata kidogo no wonder Tenerife wamemtema.
Kwa upande wa washambuliaji nafasi ya Ulimwengu kocha angempa yule kinda wa U-17 ili apate uzoefu ni mzuri kuliko Ulimwengu mzee wa faulo.
Kwa MKUDE na AJIBU hao ni sawa tu kuachwa hawathamini vipaji vyao, tena kwa upande wa Ajibu nimemshuhudia mwenyewe na tabia zake kipindi akiwa Mwadui FC, anakuja zoezi anavaa viatu zaidi ya dk 45 akimaliza wenzake wnamalizia warm up akiambiwa anajibu anavyojua yeye.
Tukisapoti kikosi chetu ingawa kulingana na vipaji vya wachezaji wetu hatutoboi kokote hatushindi hata mechi moja na droo ni majaliwa
NB KAMA TUTAFUNGA GOLI/MAGOLI MSUVA NDO ATAKUWA TOP SCORER SIO SAMMATA Mark my words
Mkuu nani angeenda tusingepigwa?Tutakuwa tunapigwa vipigo vitakatifu kama kile kipigo ilichotandikwa timu ya wanawake ya Thailand zidi ya timu ya wanawake ya Marekani kwenye kombe la dunia juzi.
Bora hata kaachwa maana ni unprofessional na hajitambui.......hawa ndo waleta majungu kwenye timu,angalia anaandika nn kwenye social network hapo ndiyo utajua ni mpuuziunamwachaje abdi banda
Yaaan mi nawaambia tutapigwa sana
Abdi Banda ni mchezaji mzuri sana nafkiri kocha ana aleji naye, sioni sababu ya kuweka makipa 3 wakati hatuendi mbali, Nikiicheck Senegal naona hapa kuna mkono cku ya kwanza kucheza